Pre GE2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 utafanyika kwa amani na utulivu sana, CHADEMA hawataambulia kitu chochote, wapuuzwe tu!

Pre GE2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 utafanyika kwa amani na utulivu sana, CHADEMA hawataambulia kitu chochote, wapuuzwe tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
UCHAGUZI HAUTAKUWEPO KABISA NA KAMA UTAKUWEPO VITUO VITACHOMWA MOTO NA ATAKAYEENDA KUCHAGUA ANAPIGWA MAWE .Maana upinzani hatutakuwa na Cha kupoteza wakati huo
ndoto za mchana hizo gentleman:pedroP:

hayupo wa kuthubutu kufanya uhalifu huo upinzani,

mwenye kiburi na ukaidi katiaka kuhatarisha amani na utulivu wakati wa uchaguzi,
atashenyentwa vizuri sana bila hata kucheleweshwa sekunde moja.

Niwahakikishie tu waTanzania hasa wadau wa JF, uchaguzi mkuu utafanyika kwa salama na amani ya kiwango cha juu mno octobaer mwaka huu2025:NoGodNo:
 
Hakuna kibaka wala tapeli aliye hamasisha mtu yeyote kufanya uchaguzi. Weweuna weweseka na usiyoyajua. Chama uachokiimba kila siku kwamba kinakubalika kwa kuwa na sera nuri kinaogopa nn kufanya mabadiliko ili kufanya uwanja wa kuchezea uwe sawa n tambarare?
Jifunze kusoma ili uelewe hata roles za opposition parties tu itakuondolea aibu
Gentleman,
kwahiyo roles za opposition ni kuwachochea wananchi kutokushiriki uchaguzi right?

huo ni ushirikina au utapeli?:pedroP:

ndio msomi wewe?:pedroP:
 
uchaguzi wa Tanzania hufanyika kwa mujibu wa katiba ya nchi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

na viongozi wote watakaochaguliwa katika uchaguzi mkuu wa october mwaka huu2025, watakua ni watumishi wa umma na wawakilishi wa wananchi bungeni, na huo ndio wajibu wao wa mwanzo kabisa kikatiba.
majukumu mengine bilashaka kila moja anayafahamu.

Gentleman,
mabadiliko ya tume huru ya uchaguzi na sheria za uchaguzi yalishafanyika baada ya vikao vya maridhiano, na tuendako hapatakua na nafasi wala fursa ya kubadilisha aya, nukta wala koma tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa octobaer mwaka huu2025.

Hakuna cha kushindwa Tanazania hasa chini ya serikali sikivu ya CCM ikiongozwa na Dr.Samia Suluhu Hassan.
umasikini, ujinga na maradhi yako binafsi sio ya waTanzania,

Ni muhimu kufanya kazi kwa bidii,
kwani mazingira ya afya, elimu, maji, kilimo, miundombinu, ufugaji, biashara n.k na mazuri mno kumuondoa kila mTanazania ambae bado anajitafuata. :NoGodNo:
Nakunukuu

""Hakuna cha kushindwa Tanazania hasa chini ya serikali sikivu ya CCM ikiongozwa na Dr.Samia Suluhu Hassan.
umasikini, ujinga na maradhi yako binafsi sio ya waTanzania"""

Ngoja nguvu nazo tumia ku type kwenye huu muda wangu wa leisure time Bora nizielekeze kwenye Uzi wa Ricky boy "UZI WA KULA TUNDA KIMASIALA"" niufungue nikasome visa na Mikasa kule.

NB.
Watanganyika WAZALENDO wenye mapenzi mema na taifa hili SIO WAJINGA/ ZOBA na hawafurahishwi Wala kupendezwa na matendo na jinsi mnavyo yapeleka mambo.

Kila lakheli kwenu.
 
gentleman,
be free,
elekeza nguvu na jitihada zako popote unako ona panafaa, na mtu makini kama mimi sintababaika nawe, bali ninasonga mbele kwa bidii zaidi na kwakweli uhakika zaidi,

ni muhimu kutafuta furaha na mambo ya kukupendeza kule unakoona panafaa,
huna sababu ya kulazimisha wengine wakupendeze na kukufurahisha,

be samart :NoGodNo:
 
October ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba.
Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae kushiriki kikamilifu tendo hilo muhimu la kidemokrasi kwa mujibu wa katiba.

Vipo vyama mbalimbali vya siasa nchini, kwasababu zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukata wa pesa na kukosa agenda, vimeonyesha dalili ya kususa au kugomea uchaguzi huo muhimu sana wa kihistoria na kuwachochea wafuasi wao kujipanga kuleta fujo hususani kwa kuwazuia wananchi ambao wako tayari kutumia uhuru na haki zao za msingi za kupiga kura.

Pamoja na hayo yote yanayopangwa na vyama hivyo vya kisiasa vilivyokosa hoja, uelekeo na ushawishi kwa wananchi hususani chadema, hakuna faida yoyote watakayoambulia ispokua kujipoteza yenyewe kwenye medani ya siasa, hakuna athari zozote za kisiasa wala kikatiba zitatokea kwa kususa kwao uchaguzi kisayansi, na zaidi sana, hakuna chochote wanachoweza kufanya chadema popote nchi hii with my deadbody hasa pale wanapoongozwa na kibaka na tapeli wa kisiasa.

una maoni gani mbadala ndugu mdau?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hatima ya Tanzania ipo Mikononi mwa Watanzania wenyewe na ndiyo Ukweli mchungu. Watanzania hao wapo walio CCM, Chadema, NSSR mageuzi, TLP, nk tena wengine wapo neutral hawana chama kabisa. Usijiapize ukaja ukaumbuka Mkuu! Historia inaonyesha katika nyakati ngumuu sana pasipotegemewa ndipo ya kutokea hutokea! Hivyo chunga sana kile unachokiandika. Tushabikie vyama lakini tusiwe kana kwamba ni final say!!!
Narudi nyumbani mapema leo!
 
Gentleman,
kwahiyo roles za opposition ni kuwachochea wananchi kutokushiriki uchaguzi right?

huo ni ushirikina au utapeli?:pedroP:

ndio msomi wewe?:pedroP:
Unajua maana ya kuchochea wewe lakini ? Kuchochea manake ninini?
Tofauti iliyopo kati ya kuchochea na kuhamasisha unaijua? Mfno mama yako akikuambia hatapia chakula mpaka usafishe nyumba hapo amekuchochea au amekuhamasisha juu ya usafi wa nyumba? Ndo mana huwa tunaulizanq shule !
Kama ccm inakubalika kwa sera zake madhubuti na itatawala/ siyo kuongoza milele ! Inaogopa nini kuweka uwanja wa kuchezea tambarare ili ishinde kwa urahisi zaidi.???
Kuliko kuwatumia VIFITU KAMA WEWE wwasiojua hata tofauti kati ya kuhoji na makasiriko, mambo ya kitaifa na binafsi. Na kuhoji na makasiriko?
Hujui hata tofaiti kati ya kuhamsisha na kuchochea? Ati nawe mpiga MBINJA Wa ccm?? Unayepaswa kuwambia watu juu ya wema na ubora wa ccm?
Ccm hii ya tangu wasira
 
relax bas gentleaman :pedroP:

uchaguzi ni mwaka huu oct.2025,
usipange au kupangiwa na vibaka au matapeli wa kisiasa, kukosa fursa na nafasi hiyo adhimu ya kizalendo na kihisotia ya kupiga kura.
 
We jamaa mbona unahaha Sana kwamba ndo unaogopa CHADEMA kiasi hicho??
 
Hatima ya Tanzania ipo Mikononi mwa Watanzania wenyewe na ndiyo Ukweli mchungu. Watanzania hao wapo walio CCM, Chadema, NSSR mageuzi, TLP, nk tena wengine wapo neutral hawana chama kabisa. Usijiapize ukaja ukaumbuka Mkuu! Historia inaonyesha katika nyakati ngumuu sana pasipotegemewa ndipo ya kutokea hutokea! Hivyo chunga sana kile unachokiandika. Tushabikie vyama lakini tusiwe kana kwamba ni final say!!!
Narudi nyumbani mapema leo!
zijiapizi kwenye ukweli gentleman,

wananchi na waTanzania wote wananamini kwamba chini ya CCM madhubuti inayoongozwa na Dr.Samia Suluhu Hassan, wako salama na wanatamani kua salama zaidi chi ya CCM mpaka ukamilifu wa dahari:NoGodNo:
 
We jamaa mbona unahaha Sana kwamba ndo unaogopa CHADEMA kiasi hicho??
gentleman,
mie naeleza ukweli tu bila mbambamba yoyote, kuelekea uchaguzi mkuu wa october mwaka huu,

ushirikina mwingine babaikeni nao wenyewe tu :NoGodNo:
 
gentleman,
be free,
elekeza nguvu na jitihada zako popote unako ona panafaa, na mtu makini kama mimi sintababaika nawe, bali ninasonga mbele kwa bidii zaidi na kwakweli uhakika zaidi,

ni muhimu kutafuta furaha na mambo ya kukupendeza kule unakoona panafaa,
huna sababu ya kulazimisha wengine wakupendeze na kukufurahisha,

be samart :NoGodNo:
Najua unalipwa kwa huu uharamia,uzandiki, upotoshaji, u fascist na vyote kwa makusudi na manufaa binafsi unajivika upofu na kuamua kutukejeli,kutweza utu watanzania kwa kujua na kwa makusudi kwa kua TU umepewa/ unapewa chochote kitu.

Kila lakheli.
 
zijiapizi kwenye ukweli gentleman,

wananchi na waTanzania wote wananamini kwamba chini ya CCM madhubuti inayoongozwa na Dr.Samia Suluhu Hassan, wako salama na wanatamani kua salama zaidi chi ya CCM mpaka ukamilifu wa dahari:NoGodNo:
Sikufichi Mkuu, najua upo KAZINI lakini ukiifanyia upembuzi post uliyoitoa hapo imekaa kichochezi. Ukitaka kufahamu hilo assume content hiyo angeliandika Mfuasi wa Chama kingine cha Siasa! Hii ni mbaya sanaa, tufurahie uhuru wetu sote hakuna mtu aliyemuomba Mungu azaliwe Tanzania bali kila mmoja alijikuta yupo hapa Tanzania. Hapa nataka kusema hivi katika nchi yetu nzuri tuliyopewa na Mungu kila mmoja anaomchango wake kwa namna moja ama nyingine bila kujali kabila, rangi, hali yake ya kiuchumi, itikadi ya kisiasa, hatua ya elimu aliyofikia, n.k. Kwa msingi huo kuna kila sababu ya kuruhusu ASILI IAUMUE (NATURE MUST TAKE PLACE) kuliko kudhani kwamba ukilazimisha hivyo ndivyo mambo yatakuwa mazuri zaidi. Hapana huko ni kujilisha upepo. Yaani Mungu ametuumba tutofautiane mitazamo ili tutegemeane....Wapo watu wazuri kila sehemu na vile vile wapo wabaya kila sehemu. Tuache Asili iamue na si kwa matakwa yetu.
 
haibadilishwi aya, nukta wala koma kwenye sheria za uchaguzi wala katiba ya nchi kwasababu mambo hayo tayari yalishafanywa na bunge tukufu la Tanzania,

hakuna atakaelazimishwa kupiga kura, wala hapatakuepo mtu wa kuzuia wengine kushiriki zoezi la kupiga kura octobar mwaka huu 2025:NoGodNo:
Basi si mtashindanishwa na Chauma,TLP,CUF na wengine,hao hamna hata haja ya kuiba kura,mnawashinda kiurahisi
 
ndoto za mchana hizo gentleman:pedroP:

hayupo wa kuthubutu kufanya uhalifu huo upinzani,

mwenye kiburi na ukaidi katiaka kuhatarisha amani na utulivu wakati wa uchaguzi,
atashenyentwa vizuri sana bila hata kucheleweshwa sekunde moja.

Niwahakikishie tu waTanzania hasa wadau wa JF, uchaguzi mkuu utafanyika kwa salama na amani ya kiwango cha juu mno octobaer mwaka huu2025:NoGodNo:
Pumbavu kabisa so kwako qewe wana wa nchi kudai haki zao ni KUHATARISHA AMANI ya NCHI? unajua maana ya amani wewe au unaharisha tu kama chizi aliyeona jalala jipya???
 
Sikufichi Mkuu, najua upo KAZINI lakini ukiifanyia upembuzi post uliyoitoa hapo imekaa kichochezi. Ukitaka kufahamu hilo assume content hiyo angeliandika Mfuasi wa Chama kingine cha Siasa! Hii ni mbaya sanaa, tufurahie uhuru wetu sote hakuna mtu aliyemuomba Mungu azaliwe Tanzania bali kila mmoja alijikuta yupo hapa Tanzania. Hapa nataka kusema hivi katika nchi yetu nzuri tuliyopewa na Mungu kila mmoja anaomchango wake kwa namna moja ama nyingine bila kujali kabila, rangi, hali yake ya kiuchumi, itikadi ya kisiasa, hatua ya elimu aliyofikia, n.k. Kwa msingi huo kuna kila sababu ya kuruhusu ASILI IAUMUE (NATURE MUST TAKE PLACE) kuliko kudhani kwamba ukilazimisha hivyo ndivyo mambo yatakuwa mazuri zaidi. Hapana huko ni kujilisha upepo. Yaani Mungu ametuumba tutofautiane mitazamo ili tutegemeane....Wapo watu wazuri kila sehemu na vile vile wapo wabaya kila sehemu. Tuache Asili iamue na si kwa matakwa yetu.
Yes,
mimi ni baba wa familia na kiongozi wa wananchi, lazima nifanye kazi tena kwa bidii, uadilifu na umakini wa kiwango cha juu sana,

Gentleman,
mambo ya asili kuamu mustakabali wa waTanzania ni ushirikina, haipo hivyo.

waTanzania wanaamua mustakabali wa Taifa lao kila baada ya miaka mitano kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi, tena ni kwa kupitai chaguzi mbalimbali za kikatiba.
Nchi yet haiamini katika ushirikna au utapeli wa vibaka wa kisiasa.

Jiandae kushiriki historia ya Tanzania,
kwa kujitokeza bila kukosa kuchagua viongozi wa ngazi mbalimbali watakao tuongoza kufiakia ndoto na matarajio ya maendeleo kwa kila mTanazani.

epuka kurubuniwa pesa, uhuru na haki yako ya kikatiba ya kupiga kura :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom