October ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba.
Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae kushiriki kikamilifu tendo hilo muhimu la kidemokrasi kwa mujibu wa katiba.
Vipo vyama mbalimbali vya siasa nchini, kwasababu zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukata wa pesa na kukosa agenda, vimeonyesha dalili ya kususa au kugomea uchaguzi huo muhimu sana wa kihistoria na kuwachochea wafuasi wao kujipanga kuleta fujo hususani kwa kuwazuia wananchi ambao wako tayari kutumia uhuru na haki zao za msingi za kupiga kura.
Pamoja na hayo yote yanayopangwa na vyama hivyo vya kisiasa vilivyokosa hoja, uelekeo na ushawishi kwa wananchi hususani chadema, hakuna faida yoyote watakayoambulia ispokua kujipoteza yenyewe kwenye medani ya siasa, hakuna athari zozote za kisiasa wala kikatiba zitatokea kwa kususa kwao uchaguzi kisayansi, na zaidi sana, hakuna chochote wanachoweza kufanya chadema popote nchi hii with my deadbody hasa pale wanapoongozwa na kibaka na tapeli wa kisiasa.
una maoni gani mbadala ndugu mdau?🐒
Mungu Ibariki Tanzania