Miaka 60 ya uhuru ahadi ni zile zile miaka yote hiyo bado nchi imekaa kama ipo vitaniπ€Sio mishipa tu gentleman,
CCM imedhamiria kuwatoa waTanzania wa makundi yote katika lindi la umasikini na kuwafanya wajitegemea na kufurahia Utaifa na Tanzania wao π
Vyama gani hivyo kwa nchi hii ukiacha CHADEMA na ACT Wazalendo. Hivyo fuata upepo na hawapati hata 1. Mbona watu wao hawauwawi wala kutekwa zaidi ya ACT na CDM.October ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba.
Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae kushiriki kikamilifu tendo hilo muhimu la kidemokrasi kwa mujibu wa katiba.
Vipo vyama mbalimbali vya siasa nchini, kwasababu zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukata wa pesa na kukosa agenda, vimeonyesha dalili ya kususa au kugomea uchaguzi huo muhimu sana wa kihistoria na kuwachochea wafuasi wao kujipanga kuleta fujo hususani kwa kuwazuia wananchi ambao wako tayari kutumia uhuru na haki zao za msingi za kupiga kura.
Pamoja na hayo yote yanayopangwa na vyama hivyo vya kisiasa vilivyokosa hoja, uelekeo na ushawishi kwa wananchi hususani chadema, hakuna faida yoyote watakayoambulia ispokua kujipoteza yenyewe kwenye medani ya siasa, hakuna athari zozote za kisiasa wala kikatiba zitatokea kwa kususa kwao uchaguzi kisayansi, na zaidi sana, hakuna chochote wanachoweza kufanya chadema popote nchi hii with my deadbody hasa pale wanapoongozwa na kibaka na tapeli wa kisiasa.
una maoni gani mbadala ndugu mdau?π
Mungu Ibariki Tanzania
ng'ang'ana na chama chako gentleman,Vyama gani hivyo kwa nchi hii ukiacha CHADEMA na ACT Wazalendo. Hivyo fuata upepo na hawapati hata 1. Mbona watu wao hawauwawi wala kutekwa zaidi ya ACT na CDM.
Ulisikia wapi mfuqsi wa TADEA au TLP ametekwa na kuuwawa!!
ahidi ahadi zako na chama chako gentleman,Miaka 60 ya uhuru ahadi ni zile zile miaka yote hiyo bado nchi imekaa kama ipo vitaniπ€
gentleaman,Hata ule uchaguzi ulioandaliwa na MKWE MWENYE KIFUA KIPANA tulismbiwa vivyo hivyo. Matokeo yake tumeyaona.
By the way, nasikia Mkwe kavuta Mke wa tatu, Maza kamnunia.
muerevu tafadhali,Hii ni kweli kabisa,maana anaye hesabu kura ndiye anayetangaza matokeo. Kama kura za wananchi zingekuwa zinaamua matokeo ya uchaguzi basi usingeweza kupost mada ya kijinga kama hii.
uerevu relax kwanza kidogo,Kwa hiyo tz ni nchi ya vibaka na matapeli. Kwa sababu inachangiwa 60% ya bajeti yake na wazungu? Wewe unawaita wafadhili/ wahisani ?
Unajua chochote kuhusu uchaguzi huru na wa haki? Una kumbuka chochote kilichotokea kwenye uchaguzi mkuu wa 2020? 2019 na ule wa Nov 2024?
Kutakuwa na matatizo makubwa sana y akili kama hujui hata maaana ya uchaguzi huru na wa haki?
Mtu kudai haki za kikatiba ni makosa kwa akili zako wewe? Anavunja sheria? Ipi? Iliyotungwa na bunge lini?
Aliyekuambia kudai haki za kiraiya ikiwemo uchaguzi huru na wa haki unaumixwa na wewe ukakubali ndo aliyekufanya wewe uwe na matatizo ya akili na hujui kama unayo
Yes,Una maanisha Wananchi wapuizwe tu sababu hawaba thamani si ndiyo. Kweli kiburi hiki cha hawa CCM kifikie mwisho sasa.
Nimeshafika tayariππNiitieni Lucas Mwashambwa
Nashukuru sana Mheshimiwa. Nimerejea tayari.hongera kwa majukumu mazito na muhimu sana kwa Taifa comrade,
welcome back πͺπ
Wewe na Mnyape Mnyauye nani yuko serikalini na kwenye Chama. Ulisikia aliyoyasema Bukoba. Kwamba sanduku la kura haliamui mshindi. Kukaa kimya kunakupunguzia ujinga kuliko kuzidi kuongea na kukuzidishia kudharaulika.October ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba.
Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae kushiriki kikamilifu tendo hilo muhimu la kidemokrasi kwa mujibu wa katiba.
Vipo vyama mbalimbali vya siasa nchini, kwasababu zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukata wa pesa na kukosa agenda, vimeonyesha dalili ya kususa au kugomea uchaguzi huo muhimu sana wa kihistoria na kuwachochea wafuasi wao kujipanga kuleta fujo hususani kwa kuwazuia wananchi ambao wako tayari kutumia uhuru na haki zao za msingi za kupiga kura.
Pamoja na hayo yote yanayopangwa na vyama hivyo vya kisiasa vilivyokosa hoja, uelekeo na ushawishi kwa wananchi hususani chadema, hakuna faida yoyote watakayoambulia ispokua kujipoteza yenyewe kwenye medani ya siasa, hakuna athari zozote za kisiasa wala kikatiba zitatokea kwa kususa kwao uchaguzi kisayansi, na zaidi sana, hakuna chochote wanachoweza kufanya chadema popote nchi hii with my deadbody hasa pale wanapoongozwa na kibaka na tapeli wa kisiasa.
una maoni gani mbadala ndugu mdau?π
Mungu Ibariki Tanzania
Kama ukiibua hoja ya utapeli asee ccm nyie ni matapeli...maji, afya, barabara, shule, hospitali, viwanda, tozo, unyonge n.k mnatumia hoja zile zile miaka nende rudi kuanzia uhuru kuwarubuni na kuwatapeli wananchi!kwahiyo yule kibaka na tapeli wa kisiasa anaewshawishi na kuwaibia wananchama wake pesa za pocket money yake, huku akiwarubuni pia uhuru na haki zao za kushiriki demokrasia ya kupiga kura ndio anafanya kazi ya maana sana right, gentleman?
na vip tayari umeshatapeliwa pesa ambayo unge mnunulia mwanao shati la shule? pole lakini