Wewe inabidi urudiwe pia kuzaliwa,Kama watumishi wa umma waliokuwa na vyeti feki walifutwa kazini hali kadhalika viongozi walioingia madarakani kwa kura feki waondolewe wote. Uchaguzi Mkuu urudiwe. Ulijaa wizi wa kura ngazi zote kuanzia Urais mpaka Udiwani.