CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
- Thread starter
-
- #21
Kama tunataka kuuwa soka Tanzania wampe Nyamlani namfahamu ni fisi mwenye tamaaa
Hawa jamaa ni kama wanataka kukazimisha ushindi kwa Nyamlani!!,leo tutapiga mtu humu ndani hatutakubali ujinga.
Hawa jamaa ni kama wanataka kukazimisha ushindi kwa Nyamlani!!,leo tutapiga mtu humu ndani hatutakubali ujinga.
kuna mchezaji nguli kabisa ananiambia tukitaka soka la Tanzania life tumpe Malinzi, lakn wenziie waliokuwepo nwakampinga sana
Mkuu WABHEJASANA kunani tena mbona una hamaki kuna nini tena?
Btw, wewe ni mpiga kura katika mkutano wa leo ama ni mlinzi wa kura za Malinzi?
kila laheri nyamlani we ndo unaweza kuongoza tff.
Usikubali Mkuu WABHEJASANA. Haki tu hapo
Wagombea ndio kwanza wanaanza kujieleza,ila huyu Nyamlani katoa wapi pesa?!
Wagombea ndio kwanza wanaanza kujieleza,ila huyu Nyamlani katoa wapi pesa?!
Chaneli gani wanarusha