Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Mkuu Amavubi tunatarajia updates kutoka kwako
 
Last edited by a moderator:
KUN FAY KUN Mungu akisema nyamlani pata anapata mku usimnange sana hata hiyo umaemtaka anaweza asifanye utakayo ni kama alivyochaguliwa raisi kuna watu wamekufa kwa sababu walimjua raisi wao atakua nani, tuombe mungu.
 
Hawa jamaa ni kama wanataka kukazimisha ushindi kwa Nyamlani!!,leo tutapiga mtu humu ndani hatutakubali ujinga.
 
Hawa jamaa ni kama wanataka kukazimisha ushindi kwa Nyamlani!!,leo tutapiga mtu humu ndani hatutakubali ujinga.

Mkuu WABHEJASANA kunani tena mbona una hamaki kuna nini tena?
Btw, wewe ni mpiga kura katika mkutano wa leo ama ni mlinzi wa kura za Malinzi?
 
Last edited by a moderator:
Uchaguzi unaendelea katika Ukumbi wa Water Front jijini Dar.
Lakini vituko vimetawala na wagombea wamekuwa wakilalama kutokana na maandalizi ya kikao hicho.
Saa 9:00 Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (Taswa), Juma Pinto anawaambia waandishi kugomea kuripoti uchaguzi kutokana na TFF kuonyesha dharau waziwazi dhidi yao. Waandishi wengine wanaanza kuondoka eneo la tukio.
Saa 7:45 Hali hiyo inatokana na uamuzi wa TFF kuwaondoa katika sehemu husika waliyokuwa wamekaa na wanataka kuwatoa
Saa 7:30 Lakini kuna mvutano mkubwa kati ya Polisi na Waandishi wa habari .
Saa 4:30 Kwa sasa ni mapumziko na wajumbe wakiwemo wagombea wamekwenda kupata chakula cha mchana.
 
kuna mchezaji nguli kabisa ananiambia tukitaka soka la Tanzania life tumpe Malinzi, lakn wenziie waliokuwepo nwakampinga sana

Amavubi, huyo Mchezaji ni nani hapa ni JF, ingawa nahic hic tu maana kuna mchezaji mmoja wa Zamani kacheza na Tenga na ni Shemejiye ATHUMAN NYAMLANI. Kwa vyovyote vile lazima amsupport shemejiye. Ila wajumbe wengi wanamtaka JAMAL MALINZI
 
Wagombea ndio kwanza wanaanza kujieleza,ila huyu Nyamlani katoa wapi pesa?!
 
Back
Top Bottom