Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Maisha ya mpira ni kiza kinene sana mkuu, ukweli huwa siyo kile unachokijua bali kile kinachotokea. Ukweli wa kitakachotokea ndo ukweli wenyewe wa kiza kinene.Nilishaomba radhi siku nyingi kaka..Na nilijuta kwa nini nilimpigia kampeni..Hata yeye nilimwambia humu..
Nawaomba sana radhi wanamichezo wenzangu humu JF kwa kumpigia kampeni Jamal Emil Malinzi. Mnisamehe kwa hilo.
Wengi tulitarajia mabadiliko kutoka kwa Malinzi..Alikuja hunu kuomba kura na ushirikiano, tulimpigia debe sana humu baadae akapotea...
Nitakuwa msitari wa mbele kupiga kampeni kuhakikisha kwamba Malinzi na genge lake hawarudi.