Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Nilishaomba radhi siku nyingi kaka..Na nilijuta kwa nini nilimpigia kampeni..Hata yeye nilimwambia humu..

Nawaomba sana radhi wanamichezo wenzangu humu JF kwa kumpigia kampeni Jamal Emil Malinzi. Mnisamehe kwa hilo.

Wengi tulitarajia mabadiliko kutoka kwa Malinzi..Alikuja hunu kuomba kura na ushirikiano, tulimpigia debe sana humu baadae akapotea...

Nitakuwa msitari wa mbele kupiga kampeni kuhakikisha kwamba Malinzi na genge lake hawarudi.
Maisha ya mpira ni kiza kinene sana mkuu, ukweli huwa siyo kile unachokijua bali kile kinachotokea. Ukweli wa kitakachotokea ndo ukweli wenyewe wa kiza kinene.
 
Back
Top Bottom