Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
uyu jamaa anastahili tunataka mabadiliko TFF
Pengine anastahili ila kwa mpira wa Tanzania mi naona ni miozo ozo tu....Kubadirisha mpira wa Tanzania inabidi avunje matabaka katika vilabu haswa kuondoa wazee wa klabu fulani ama wale wazee wa benchi la ufundi....uchawi unaua sana mpira wetu kwani hatuna wachezaji wa kiukweli bali wasanii tu.