Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

hongera malinzi, nikutakie mafanikio katika kukuza soka la tz.

Usivisahau vyama vya mikoa yote tanzania.

Tenga sijui kama alikuwa anatembea mikoani nakuangalia hivi vyama.

Kunamatatizo mengi mikoani yanayo husu mpira wa miguu.nakuomba uwe na utaratibu wa kwenda mikoani.
 
Nimearifiwa kuwa Jamal Malinzi amechaguliwa kuwa Rais wa pili wa TFF. Hii ni baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu wa TFF uliofanyika leo hii. Amemshinda Nyamlani.

Habari zaidi kufuata punde...

Katika uchaguzi huo uliokuwa na upinzani mkali,Malinzi ameibuka kidedea na sasa anatarajiwa kumrithi Leodgar Chilla Tenga kama Rais wa TFF. Hili ni pigo la wazi kwa CCM tuliokuwa tukimuunga mkono Mheshimiwa Hakimu Nyamlani

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Ndiyo, sasa tunaweza kuthibitisha bila Mashaka yoyote. Ameshinda kwa kura 73 dhidi ya 52 za Nyamlani. Makamu wa Rais ametangazwa Ndg Wallace Karia aliyewaangusha Ramadhani Nassib na Iman Madega. Hivyo kuanzia sasa Rais wa TFF ni Ndg JAMAL EMIL MALINZI na Makamu wa Rais TFF ni Ndg Wallace Karia. Kuna tamko la Shukrani toka kwa MALINZI linakuja soon
 
Le Mutuz.......Wagombea wake wote tupa kule.....

Nyamlani, Mosha, Pinto........

Le Mutuz ana Gundu, nilimwambia toka jana. Yaani kwa sasa usije ukarogwa kama unagombania nafasi fulani katika jamii ukasema eti William Malecela tunafahamiana. Palepale wanabadili mwelekeo
 
Ongera Malinzi,nasubiri Mataifa ya Afrika Bongo#TeamMalinzi#
 
Simba kwisha habari yako. Malinzi yanga damu damu!
Hayo ni mawazo mafu, kwani Malinzi hana katiba inayomwongoza katika kazi zake? Acheni uchongaji fyongo, usishangae ukiona anaiua Yanga na kuinyenyua Simba ikiwa sheria za michezo zinafuatwa vema. Akifyongo malinzi anaishia, maana sasa macho mia mia juu yake.
 
baada ya wana JF jana kuungana kukuombea ushinde na wengine kukuahidi kukupa kura na kweli imeshinda, hongera sana malinzi na jua unamahaba na yanga sasa unapaswa kuyaweka pembeni uongoze soka letu, wengine soka la nyumbani tunalipeda kuliko la nje, rudisha heshima ua soka letu, kunatabia ya wanajf wakisha pata ulaji wanakuja kututukana hapa usithubutu, tutakupa za chembe hatutsjali kiurahisi chako cha tff..
 
afadhari, mana ilikuwa presha tupu usiku wa jana! hongera malinzi, muhimu tekeleza ahadi zko kwa kiwango kikubwa.
wadau wengi wana imani na wewe, MUNGU akuongoze.
 
hongera Jamal Malinzi, hongereni wapenda soka wa Tanzania....wale wa kumeza sindano wameponea, Kongosho nae mwananyamala haitamhusu..mnabahat, nlvyomshakunaku ningehakksha mnatmiza maneno yenu.
 
Last edited by a moderator:
Jamali Malinzi Kombe la Mataifa ya Afrika bongo kama ulivyotuambia!Karibu TFF,na Ufanye Mabadiliko TFF kina Madadi via Kayuni lazima wapumzike
#######TeamMalinzi######
 
Last edited by a moderator:
maisha ya soka la mtanzania bado sana , tunahitaji uongozi mzuri ili tufike tupapendapo uchaguz huu cio kipimo cha maendeleo tunahitaj kiongozi shupavu na mwenye weledi mkubwa nyamaln na malinz ni viongozi wote so wapeni kura ingawaje ciwajui vzur ila naamin nchi inakwenda mahari pake sasa.
 
ni kweli kabisa kaka ilo ndio suala lililopo hapa tz viomgoz wanajinadi sana mwisho wa siku hakuna kitu tff temgenezen sheria kwa ajili ya watu hawa
 
Back
Top Bottom