Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

uyu jamaa anastahili tunataka mabadiliko TFF

Pengine anastahili ila kwa mpira wa Tanzania mi naona ni miozo ozo tu....Kubadirisha mpira wa Tanzania inabidi avunje matabaka katika vilabu haswa kuondoa wazee wa klabu fulani ama wale wazee wa benchi la ufundi....uchawi unaua sana mpira wetu kwani hatuna wachezaji wa kiukweli bali wasanii tu.
 
Despite all our differences most of us share the same hopes for our country's future, OBAMA.
 
Pengine anastahili ila kwa mpira wa Tanzania mi naona ni miozo ozo tu....Kubadirisha mpira wa Tanzania inabidi avunje matabaka katika vilabu haswa kuondoa wazee wa klabu fulani ama wale wazee wa benchi la ufundi....uchawi unaua sana mpira wetu kwani hatuna wachezaji wa kiukweli bali wasanii tu.

Maoni ya.kuboresha???!!!!
 
Nimependa mtizamo wako, japo mtu wako kashindwa lakini uko tayari kutoa ushiriakiano kwa aliyeshinda. Tanzania tunahitaji hili sana.

Mkuu ngoja tuone huko mbele, ila kwa sasa hatuna budi kumpa ushirikiano.
 
Change WE CAN, Jana Rais Mpya alianza kwa kuvunja kamati zote..... yaani sasa kamati zitaundwa upya, Pili ametoa msamaha kwa wafungwa wote isipokuwa wale tuu wenye makosa ya rushwa na kupanga matokeo
CHANGE @ TFF is on the Corner
TUST WE CAN
 
ndo umeze wembe aina ya topaz sasa.......
C.c gfsonwin , asprin , the secretary
Baba V usinipimie jana nimeshinda water front mpaka asbh. Nilihakikisha mla rushwa nyamlan haati sapoti.
Nilifurah sana alipoondoka soon baada ya kupiga kura manake alijua kishanuka....................................

Malinzi anaweza na tumethubutu kumpa kura ili aendeleze soka la bongo................

Btw manji hakuwepo so hatushiriki uchaguzi sisi kama sisi
 
Last edited by a moderator:
Change WE CAN, Jana Rais Mpya alianza kwa kuvunja kamati zote..... yaani sasa kamati zitaundwa upya, Pili ametoa msamaha kwa wafungwa wote isipokuwa wale tuu wenye makosa ya rushwa na kupanga matokeo
CHANGE @ TFF is on the Corner
TUST WE CAN

Na nikwambie tunaanza kwa kishindo,tunataka sasa mpira subiri ameingia mtu ambaye tumempigania hadi dakika ya mwisho,lazima tulambe hizo kamati ili tumsaidie vizuri na hasa kupambana na wale wahuni walioigeuza tff shamba la bibi!
 
Baba V usinipimie jana nimeshinda water front mpaka asbh. Nilihakikisha mla rushwa nyamlan haati sapoti.
Nilifurah sana alipoondoka soon baada ya kupiga kura manake alijua kishanuka....................................

Malinzi anaweza na tumethubutu kumpa kura ili aendeleze soka la bongo................

Btw manji hakuwepo so hatushiriki uchaguzi sisi kama sisi

Lakini Teacher si nilikwambia tunaanza kumshughulikia huku tff halafu tunamshukia pale mahakamani?!sasa wewe jiandae kutupa sapoti tu utaona,tumebaki vijana wachache sana ambao hatuhongeki,hatudanganyiki,na wala hatutishiwa nyau!
 
Last edited by a moderator:
Jamal Malinzi uko wapi??
yani jana nimekesha nje ya water front kwaajili yako sasa usiniangushe rafiki, lazima soka lisonge mbele.
tumekuamini tukakupigia debe na umeshinda sasa usituumize mioyo kwa utendaji mbovu.

Pia ukumbuke ukiboronga tu tutakuja kukupa za uso live hapa jamvini tena mie ndo nitaongoza sakata
 
Last edited by a moderator:
Mpira wa Tanzania umekufa.
MPIRA WA TANZANIA Quishney,
watamkumbuka TENGA x100
mchakato mzima kweli wanashindwa kumtafuta mchezaji mwenye Uzoefu, akasaidiwa na Katibu Mkuu aliyesomea menejiment, Hii ipo sana kwa wenzetu ,Germany, Spain, Cameroun, Nigeria nk
Sasa mtu anatoka Mahakamani au kwenye Boxing na wala huko hakucheza leo mnamtwisha Mpira tena wa Vilabu vikubwa mashindano ya Afrika na Dunia,
Bora kushangilia Man U, Liverpool, Man City nk
 
Matola's fault 🙂

Alitabiri mapema kwenye uzi wa Le mutuz kuwa kila anayemshabikia huwa anashindwa

Nyamlani angekuwa ni mtu safi ningemshauri ajiweke mbali na hili genge la wauza unga waliokuwa wanamshabikia.

Ila kwakuwa na yeye si msafi na anatesa watu kutokana na uhakimu wake basi na members wenzetu hapa ni wahanga wa mateso yake basi amevuna alichopanda.

Hiyo ilikuwa ni season 1 episode 10 sasa ausubili mziki kamili wa season 2 episode 20 huyu ng'ombe lazima nimmalize na pesa za moto za Takukuru.

Jasiri huwa haachi asili, ataingia tu kwenye 18, tena najuwa sasa hivi atarudi kazini na uchu wa rushwa maana wajumbe wa TFF wameshamfirisi sasa hakuna kupoteza muda ni kipindi hiki ndio cha kumuwekea mtego tuhakikishe anakwenda jela jizi kabisa hili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom