Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Mandieta shkamoo..leta matokeo bana
 
WABHEJASANA tafadhali tutoe wasiwasi maana kuna comment yako umeandika kuwa "inaonekana kama MALINZI" hatoshinda, wakati mimi kwa habari nilizonazo hadi alfajiri ya leo MALINZI alikuwa na uhakika wa kura zaidi ya 80?
 
Kila la kheri shujaa wa soka Jamal Emil Malinzi.
 
Mkuu naomba tuheshimiane kabisa tafadhali,naomba usinitafutie BAN humu ndani watu wakakosa walau updates kiduchu kwa namna tunavyopata nafasi humu!

Hahaha utani wa jadi mpwa. Tupeni raha
 
Malinzi muhuni tuu hafai kuongoza soka letu...ataliuwa kama alivyouwa ngumi na upromota wake. Tatizo baadhi ya waandishi wa habari uchwara weshakula hela zake wanampigia debe kanjanja mwenzao.
 
Malinzi muhuni tuu hafai kuongoza soka letu...ataliuwa kama alivyouwa ngumi na upromota wake. Tatizo baadhi ya waandishi wa habari uchwara weshakula hela zake wanampigia debe kanjanja mwenzao.

Tungekuwa na uwezo labda tungemrudisha Rukambura maana hata Nyamlani nae kuna watu wanasema nae ni noma
 
Wasimuweke yule hakimu mpigaji maarufu!
Tuna matumaini na Jamal Malinzi.
 
Insiders tupeni updates..kura chache hivy bado tu?
 
Malinzi muhuni tuu hafai
kuongoza soka letu...ataliuwa kama alivyouwa ngumi na upromota wake.
Tatizo baadhi ya waandishi wa habari uchwara weshakula hela zake
wanampigia debe kanjanja mwenzao.

nani anajali hayo maneno yako??
 
Wakuu kura zinapigwa sasa hivi na kidogo matumaini yaanaonyesha tutashinda(Malinzi team),ila Arusha,Kigoma,Kilimanjaro,Mbeya,Lindi,Pwani,na Manyara ni Mamburula.lakini dalili za ushindi.
 
Yaaani leo nashindwa nifanye kipi huku man city huku malinzi vs nyamlani huku mjadala wa katiba.....mwee muwe mnawasikiana jamani kutenganisha haya matukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…