Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
malinzi asiposhnda leo sijui! Maana anavyoshabikiwa hapa jamvini..!
hupendi jf ipate rais wa tff..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
malinzi asiposhnda leo sijui! Maana anavyoshabikiwa hapa jamvini..!
malinzi asiposhnda leo sijui! Maana anavyoshabikiwa hapa jamvini..!
Malinziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Viva vivaaaa,
Naaaaam ashashinda kilichobaki ni hitimisho na kutangazwa tu
Malinziiiiiiiiiiii, tuombe mungu wasigeuze matokeo tu
Yericko....Malinziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Viva vivaaaa,
Naaaaam ashashinda kilichobaki ni hitimisho na kutangazwa tu
Malinziiiiiiiiiiii, tuombe mungu wasigeuze matokeo tu
Moshi mweupe unaweza kujitokeza inavyoonekana hakuna kura kurudiwa.Mungu ni mwema sana.
Brodaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaãaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Haii ya Mama yangu Mzazi tukishinda namna ninavyoona pamoja na mizengwe yao ya kupenyeza fwedhaaaaaaaa ndani y ukumbi,basi tutatimua panya na mende wote walioko ndani ya tff,waombe mungu washine lakini pia wakishinda tunalianzisha humu humu wengine mjiandae kutuunga mkono huko njeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
Yericko....
Binafsi natamani sana Jamal Emil Malinzi.ashinde kwa kiahindo....
Na dalili zinaonesha hivyo....
Lakini kuna mchezo wa hatari sana unachezwa na Tenga na kundi lake la akina Osiah kuhakikisha kwamba iwe isiwe Nyamlani anashinda.....Lengo ni kuendeleza maslahi yao ndani ya TFF....Kuna hatari vurugu kubwa sana zikazuka endapo Nyamlani atatangazwa mshindi....
Naomba na namshauri Tenga na kundi lake waachane na.mawazo hayo machafu kwa mustakabali wa soka la Tanzania....
Malinzi ndiye mkombozi wa soka letu...Nyamlani = Tenga = Failures
Malinziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Viva vivaaaa,
Naaaaam ashashinda kilichobaki ni hitimisho na kutangazwa tu
Malinziiiiiiiiiiii, tuombe mungu wasigeuze matokeo tu
Yani tumejipanga kwa kila hali kwa siku ya leo,n kwa bahati mbaya sana wamejichanganya na kuwaacha watu wakaingia na Bastola ndani ya Ukumbi,mamaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
Kuwa makini Nyamlani mtu wa serikali