Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malinziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Viva vivaaaa,
Naaaaam ashashinda kilichobaki ni hitimisho na kutangazwa tu
Malinziiiiiiiiiiii, tuombe mungu wasigeuze matokeo tu
Tenga anataka kuwa muhuni.wakuu hapa inaonkana Malinzi hashindi!ila subirini tu mtasikia wanajieleza.
Oya acheni habari za uzushi umu ndani kura hazijaanza ata kuhesabiwa, matakeo ya awali yataanza kutoka saa 4
mimi nataka kujua nani kashinda uraisi??
yaani mniambie kama ni Malinzi nianze kusherekea sasa hivi
Kwa sasa wachezaji
wazamani wakina ally mayay na watafuatia makocha na baadae
madaktari,hali ni ngumu na mshindi hapa kwa inavyoonekana hatamzidi
mwenzake zaidi ya kura 10 sidhani,kwa sbb kundi la Tenga na Osiah
wamechafua hali ya hewa ukumbini muda mfupi kabla ya kura
kupigwa,wasubiri tu labda tushindwe tukishinda watakiona cha moto hivyo
vyeo walivyopeana kwa ajili yz maslahi watapata cha mtemba kuni.
Tuliza munkari mambo bado
mimi nataka kujua nani kashinda uraisi??
yaani mniambie kama ni Malinzi nianze kusherekea sasa hivi
uwiiiiiiiiiiiiiiii jamani
hesabuni kura vizuri Nyamlani ni mshanzi ataiba kuraaa ama kuharibu
makusudi
Teacher matokeo bado
yanaweza kutolewa kwenyensaa 4 au 5 hivi usiku baada ya kuhesabiwa
lakini sisi tutayapata mapema kabla ya kutangazwa na tutayaweka humu
endelea kutulia tu hapa usichezecheze,ila Hali ni tete zile kura 85
alizokuwa nazo Malinzi hadi kwenye saa 7 mchana hivi zilianza kuyeyuka
baada ya viburungutu kuingizwa ukumbini fedha ambazo zimadaiwa kutolewa
na Tenga na wenzake ili kuhakikisha Nyamlani anashinda ili kuendelea
kulinda maslahi yao.
Teacher matokeo bado yanaweza kutolewa kwenyensaa 4 au 5 hivi usiku baada ya kuhesabiwa lakini sisi tutayapata mapema kabla ya kutangazwa na tutayaweka humu endelea kutulia tu hapa usichezecheze,ila Hali ni tete zile kura 85 alizokuwa nazo Malinzi hadi kwenye saa 7 mchana hivi zilianza kuyeyuka baada ya viburungutu kuingizwa ukumbini fedha ambazo zimadaiwa kutolewa na Tenga na wenzake ili kuhakikisha Nyamlani anashinda ili kuendelea kulinda maslahi yao.