Hongera sana Jamal Malinzi. Mia
Vp kimeeleweka kweli.
malinzi asiposhnda leo sijui! Maana anavyoshabikiwa hapa jamvini..!
hupendi jf ipate rais wa tff..
Matokeo plzz jamani, watu tunataka viongoz hatutaki wapiga porojo
da! presha tupu!
Kwani wajumbe wanasubiria dinner ndo watangaze matokeo?
Watatuua kwa Pressure. Yaani hapa nimeandaa Jack Daniels, sijui itanidodea!
mkuu dua lako lipo wp?
Oya acheni habari za
uzushi umu ndani kura hazijaanza ata kuhesabiwa, matakeo ya awali
yataanza kutoka saa 4
Oya acheni habari za uzushi umu ndani kura hazijaanza ata kuhesabiwa, matakeo ya awali yataanza kutoka saa 4
Yani naomba nikwambie kitu kimoja,NYAMLANI ananijua kwa sura kwa sababu tulishawahi kunyoosheana vidole hadharani,anajua hniwezi kwa kila kitu mpaka miaka miaka,huyo mla rushwz kwn
anza leo tunamshughulikia halafu kuanzia wiki ijayo tunaanza kumfuata mahakamani kwa sababu tumepata ushahidi kutoka kwa mmoja wa wana JF kwamba alimnyanyasa sana kwenye kesi tunaanza nae.