Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

aisee kumbe Crashwise huyu mtu yuko hapa? We princetx nani kakudanganya?? Au we mdogo wake Nyamlani? Hata upepo huangalii.
 
Last edited by a moderator:
Malinziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Viva vivaaaa,

Naaaaam ashashinda kilichobaki ni hitimisho na kutangazwa tu



Malinziiiiiiiiiiii, tuombe mungu wasigeuze matokeo tu

Yericko nakuamini - endelea kutupa updates. Nitakucheki kwenye FB mida hii
 
mimi nataka kujua nani kashinda uraisi??
yaani mniambie kama ni Malinzi nianze kusherekea sasa hivi
 
uwiiiiiiiiiiiiiiii jamani hesabuni kura vizuri Nyamlani ni mshanzi ataiba kuraaa ama kuharibu makusudi
 

Aisee, pana harufu ya ngumi huko!
 
mimi nataka kujua nani kashinda uraisi??
yaani mniambie kama ni Malinzi nianze kusherekea sasa hivi


Teacher matokeo bado yanaweza kutolewa kwenyensaa 4 au 5 hivi usiku baada ya kuhesabiwa lakini sisi tutayapata mapema kabla ya kutangazwa na tutayaweka humu endelea kutulia tu hapa usichezecheze,ila Hali ni tete zile kura 85 alizokuwa nazo Malinzi hadi kwenye saa 7 mchana hivi zilianza kuyeyuka baada ya viburungutu kuingizwa ukumbini fedha ambazo zimadaiwa kutolewa na Tenga na wenzake ili kuhakikisha Nyamlani anashinda ili kuendelea kulinda maslahi yao.
 
uwiiiiiiiiiiiiiiii jamani
hesabuni kura vizuri Nyamlani ni mshanzi ataiba kuraaa ama kuharibu
makusudi

na hao wasimamizi wa huo uchaguzi, sijui kama hawajanunuliwa, hao wajumbe watuchagulie basi malinzi tulale kwa amani.
 
malinzi nenda kahesabu mwenyewe kura.isije wakamnunua chumbani huko linda kura zako malinzi
 
Huyo nyamalaini hafai amekuwa makamu mwenyekiti TFF muda wote amefanyanini?
 
Inavyoonekana member wengi humu JF wanapenda Malinzi ashinde, sasa ngoma ikienda tofauti basi wengi tutanywea kama tumeloweshwa maji baridi.
 
kuna mchezo mchafu unaendelea kuna watu wanamirija yao ya pesa sasa wasiposhinda watu fulani mirija itakatika , naona kuna nguvu ya ziada itumika kulinda hii kitu ,mpambano ni mkali kuliko watu wanavyodhani
 

Nimesikia kwenye michezo, mjumbe mmoja kadakwa na rushwa landmark hotel, alikuwa anagawa kwa wajumbe wengine, na wamemkuta na milion kadhaa kibindoni.
 

Hivi ukipewa bulungutu but stil ukampigia choice yako kuna tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…