Uchaguzi 2020 Uchaguzi mwaka huu umepoa kuliko chaguzi zote

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Kinachofanya uonekane unakashikashi ni mitandao tu ya kijamii.

Ila huko kwenye uhalisia utadhani hatuko kwenye Uchaguzi.

Napita mitaani hakuna anayezungumzia. Ukiacha mabango ya CCM ambayo yametapakaa jiji zima LA DSM, yaani hata Bango la diwani ni kali kuliko la mgombea Rais yoyote wa upinzani hapo NATO hayaonekani, pamepoa mno.

Nilisafiri Mwanza DSM nikawa naangalia harakati za kisiasa mabarabarani sioni chochote.

Chakushangaza hata watu Wawili walipojaribu kujadili, Dereva aliongea kwa kipaza sauti kwa ukali na hofu Kubwa kukataza mjadala huo. Ila nakumbuka 2005 ndani ya treni Mwanza DSM behewa zima tulijadili hadi tukasinzia.

Cha ajabu leo kwenye daladala tulikuwa tunajadili kana kwamba huo Uchaguzi hautuhusu ni wa watu flani au nchi nyingine. Mfumo huo wa kujadili ulinishangaza hata mimi nilijishangaa. Kwanza sina hamu kabisa hata kusikia Lissu au Magufuli wanasema nini.

Najiuliza tatizo ni nini?

Je, ni uwekezaji mdogo wa rasilimalifedha?
Je, watu tumechoka siasa?
Je, siasa zimehamia online?
Je, maisha magumu hivyo kila mmoja anapambana na hali yake?

Mini maoni yako kama angalau na wewe umeona hii tofauti.
 
Mpaka sasa akunamgombea wa upinzani aliyeweza kuitikisa CCM.ndo maana wananchi wamepoa wanona kabisa CCM itapita mapema sana kushinda chaguzi zote.
 
mwaka 2015 wagombea wote walikuwa wapya hivyo msisimko ulikuwa mkubwa. mwaka huu jiwe tumeshajua mazuri na mabaya yake na Lissu tumeshamfahamu vizuri toka alipopigwa risasi na jiwe tunachosubiri ni kupiga kura tu.
 
Kinachofanya uonekane unakashikashi ni mitandao tu ya kijamii.

Ila huko kwenye uhalisia utadhani hatuko kwenye Uchaguzi.

Napita mitaani hakuna anayezungumzia. Ukiacha mabango ya CCM ambayo yametapakaa jiji zima LA DSM, yaani hata Bango la diwani ni kali kuliko la mgombea Rais yoyote wa upinzani hapo NATO hayaonekani, pamepoa mno.

Nilisafiri Mwanza DSM nikawa naangalia harakati za kisiasa mabarabarani sioni chochote.

Chakushangaza hata watu Wawili walipojaribu kujadili, Dereva aliongea kwa kipaza sauti kwa ukali na hofu Kubwa kukataza mjadala huo. Ila nakumbuka 2005 ndani ya treni Mwanza DSM behewa zima tulijadili hadi tukasinzia.

Cha ajabu leo kwenye daladala tulikuwa tunajadili kana kwamba huo Uchaguzi hautuhusu ni wa watu flani au nchi nyingine. Mfumo huo wa kujadili ulinishangaza hata mimi nilijishangaa. Kwanza sina hamu kabisa hata kusikia Lissu au Magufuli wanasema nini.

Najiuliza tatizo ni nini?

Je, ni uwekezaji mdogo wa rasilimalifedha?
Je, watu tumechoka siasa?
Je, siasa zimehamia online?
Je, maisha magumu hivyo kila mmoja anapambana na hali yake?

Mini maoni yako kama angalau na wewe umeona hii tofauti.
Boya mkubwa wewe nyoo unataka kuwakata watu stimu wasiende kungoa nduli acha hizo fala
 
utofauti huu ndiyo ukufumbue macho na akili kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa na matokeo tofauti sana klulinganisha na chaguzi zote huko nyuma.

it's a "make or break" situation. watu watapigwa na butwaa wasijue ni nini kimewabamiza!
 
Kilichofanyika kwenye uchaguzi mdogo ule uchafuzi watu wamekata tamaa ya uchaguzi sababu kura za wananchi haziheshimiwi
Hata ccm wameshalijua hilo pengine Bila wasanii wangetia aibu kwenye mikutano
119516751_1676543755847843_3160433916209130033_n.jpg
 
Kinachofanya uonekane unakashikashi ni mitandao tu ya kijamii.

Ila huko kwenye uhalisia utadhani hatuko kwenye Uchaguzi.

Napita mitaani hakuna anayezungumzia. Ukiacha mabango ya CCM ambayo yametapakaa jiji zima LA DSM, yaani hata Bango la diwani ni kali kuliko la mgombea Rais yoyote wa upinzani hapo NATO hayaonekani, pamepoa mno.

Nilisafiri Mwanza DSM nikawa naangalia harakati za kisiasa mabarabarani sioni chochote.

Chakushangaza hata watu Wawili walipojaribu kujadili, Dereva aliongea kwa kipaza sauti kwa ukali na hofu Kubwa kukataza mjadala huo. Ila nakumbuka 2005 ndani ya treni Mwanza DSM behewa zima tulijadili hadi tukasinzia.

Cha ajabu leo kwenye daladala tulikuwa tunajadili kana kwamba huo Uchaguzi hautuhusu ni wa watu flani au nchi nyingine. Mfumo huo wa kujadili ulinishangaza hata mimi nilijishangaa. Kwanza sina hamu kabisa hata kusikia Lissu au Magufuli wanasema nini.

Najiuliza tatizo ni nini?

Je, ni uwekezaji mdogo wa rasilimalifedha?
Je, watu tumechoka siasa?
Je, siasa zimehamia online?
Je, maisha magumu hivyo kila mmoja anapambana na hali yake?

Mini maoni yako kama angalau na wewe umeona hii tofauti.
Matatizo yalianzia - Bandari, TRA, Makontaina, na popote ambapo hela za serikali zilikuwa zinapigwa. Pia kudhibiti madawa ya kulevya, waajiriwa hewa n. k. Kati ya hela hizo haramu zilizokuwa zinapatikana, zilikuwa zinanufaisha chama fulani cha upinzani - sasa basi baada ya awamu ya tano kusafisha, chama fulani ukata umekikumba! Kuchapisha mabango ni mtihani! Kampeni nazo shida - ufisadi uliwafaidisha sana.
 
Back
Top Bottom