Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Duh, kumbe! Hapo bado Mr Igunga naye hajaweka mipango yake ya ulaji. Kweli ccm ina wenyewe, hao wajumbe ni mkusanyiko wa wagawiwa posho tuuRianuja na Pena ni vijana watiifu wa makamu mwenyekiti Nanaki, umesahau goli la mkono na wizi wa kura zetu kwa kucheza na data.
WATAPITA BILA KUPINGWA RUSHWA ITAFANYA KAZI YAKEHakika kuna za chini ya kapeti kuwa wajumbe wengi wanakasirishwa na utendaji na tabia za hawa vijana wa Samia wanaowania nafasi zile 15 za kapu ndani ya Halmashauri Kuu na wameahidi kuwafundishi adabu ya utumishi ni kuheshimu walio chini.
Kuna habari pia kuwa Mama Mwenyekiti anawataka hao vijana wake by hooks and cooks na kuwa lazima waingie katika Halmashauri Kuu Wajumbe watake wasitake.
Kwa nini Mwenyekiti anakomaa hao vijana wapite? Je, ni kwa maslahi ya chama au naye kapewa maelekezo kutoka nguvu isiyoonekana kwa macho?
Duh hii kali!Nape ni aibu na fedhea kwa CCM, kuachwa kwake kutaleta aibu kubwa ndani ya CCM
Kwa muda mrefu nimekuwa ni adui wa kauli na utendaji usiofata misingi wa Nape Nnauye. Kauli zake Mara nyingi zinaonesha ni mtu anayejisikia, mtu ambaye anaamini kwamba bila yeye CCM haiwezi kusonga mbele,kwa kifupi anajiona ni mungu mtu ndani ya CCM. Nape anachotakiwa kujua ni kwamba chini yake...www.jamiiforums.com
Acha uongo wako hapa wewe, Inaonyesha unawahofia hao kwa kuwa umeshaona nguvu yao ya ushawishi kwa wajumbe na kukubalika kwao ndio maana unaleta ngonjera zako hapa.Acha kumchafua mh Rais wetu mpendwa kwa maneno ya uchonganishi na uongo uongo hapa.Hakika kuna za chini ya kapeti kuwa wajumbe wengi wanakasirishwa na utendaji na tabia za hawa vijana wa Samia wanaowania nafasi zile 15 za kapu ndani ya Halmashauri Kuu na wameahidi kuwafundisha adabu ya utumishi ni kuheshimu walio chini.
Kuna habari pia kuwa Mama Mwenyekiti anawataka hao vijana wake by hook and crook na kuwa lazima waingie katika Halmashauri Kuu Wajumbe watake wasitake.
Kwanini Mwenyekiti anakomaa hao vijana wapite? Je, ni kwa maslahi ya chama au naye kapewa maelekezo kutoka nguvu isiyoonekana kwa macho?
More than 13 hours umeandika huu utopolo wako humu kama vile kuitetea ccm lakini hakuna hata mwana CCM hata mmoja aliye support ulicho andika.Acha uongo wako hapa wewe, Inaonyesha unawahofia hao kwa kuwa umeshaona nguvu yao ya ushawishi kwa wajumbe na kukubalika kwao ndio maana unaleta ngonjera zako hapa.Acha kumchafua mh Rais wetu mpendwa kwa maneno ya uchonganishi na uongo uongo hapa.
Wewe nenda kapambane kuomba kula kwa wajumbe huko na siyo kuja hapa kuwachafua watu baada ya kuona rekodi zao kiutumishi na kiutendaji ndani ya chama na serikali zinawabeba Sana na kuuzika kwa wajumbe.
Kwani Nani asiyefahamu mchango wa mh Nape ndani ya CCM? Unakumbuka kuwa mh nape pamoja na mh Kinana walizunguka nchi yote kurudisha CCM kwa wanachama? Unakumbuka mh nape na Kinana akiwa katibu mkuu wetu Ndio waliongoza Vita ya kupambana na mafisadi almaarufu Kama kujivua magamba? Ulikuwepo wakati huo wakilala maporini? Au unafikiri nape kajizoa zoa tu kufika hapo alipofika? Au hujuwi mh Nape akiwa katika nafasi ya uenezi ndio alianza kufanya kazi ya kukijenga chama mashinani?
Vipi kuhusu mh January Makamba,je hufahamu mchango wake ndani ya chama? Unafahamu kazi kubwa ya kikampeni za kisasa alizoongooza uchaguzi wa 2015? Au wewe ulikuwa unaangalia tu bila kujuwa waratibu Ni akina nani?
Unafahamu Hawa ndio waliunda kombinesheni ya mashambulizi ya kihoja dhidi ya wapinzani? Unafahamu vijana Hawa pamoja na mh Mwigulu lameck Nchemba ndio walikuwa Askari wa mstari wa Mbele katika mapambano ya kuipigania CCM?
Acha uoga na kuanza kuwachafua hapa jukwaani maana haitakusaidia kitu chochote kile hapa,Nenda kwa wajumbe kaombe Kura kulingana na mchango wako ndani ya chama inayoonyesha utumishi wako na Alama zako zilizobakia na kukumbukwa Kama ambavyo Hawa viongozi wetu waliacha Alama njema za kiutumishi na kiutendaji kwa Chama chetu
Kwani Ni wapi tunapiga Kura hapaMore than 13 hours umeandika huu utopolo wako humu kama vile kuitetea ccm lakini hakuna hata mwana CCM hata mmoja aliye support ulicho andika.
Unaelewa maana yake nini? Hao uliowapigania HAWAKUBALIKI, mind you huu ni uchaguzi wenu wa ndani kama ni wizi mnaibiana wenyewe kama wachawi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mbele ya rushwa, hakuna kinachoshindikanaHakika kuna za chini ya kapeti kuwa wajumbe wengi wanakasirishwa na utendaji na tabia za hawa vijana wa Samia wanaowania nafasi zile 15 za kapu ndani ya Halmashauri Kuu na wameahidi kuwafundisha adabu ya utumishi ni kuheshimu walio chini.
Kuna habari pia kuwa Mama Mwenyekiti anawataka hao vijana wake by hook and crook na kuwa lazima waingie katika Halmashauri Kuu Wajumbe watake wasitake.
Kwanini Mwenyekiti anakomaa hao vijana wapite? Je, ni kwa maslahi ya chama au naye kapewa maelekezo kutoka nguvu isiyoonekana kwa macho?
Ume fail mpambe! [emoji1787][emoji1787]Kwani Ni wapi tunapiga Kura hapa
Shura ya maimamu kivipi !!Sasa wajumbe wa ccm lini walishawahi kuwa na hasira zaidi ya njaa.. We si unaona uvccm imekuwa Shura ya maimamu