kyle rothschild
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 208
- 322
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna jinsi wanalijua hilo walichofanya ni kama yanga kuinona listi ya simba na kujua hawawezi kushindana nayo wakaanza kutafuta visingizio!Upinzani msitake kuhadaa umma ...bali kubalini tu mmepoteza mvuto.
Nakumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014 kulikuwa na the so called UKAWA basi mjini na vijijini kulikuwa na heka heka haswa na hivyo kupelekea CCM kuvuja jasho.
Baada ya uongozi mbovu wa Mbowe na usanii wa hali ya juu kuhusu UKAWA kulikopelekea Kina Slaa na Lipumba kuondoka basi tunashuhudia hasira za wananchi dhidi ya vyama vilivyounda Ukawa...
Matahira nyie!! Kama mnaweza kushindana woga na hujuma za kipumbavu zisizoo mikakati nazionesha wazi, ccm yenye wajinga wengi ndio imeweza kujaza fomu??.Hakuna jinsi wanalijua hilo walichofanya ni kama yanga kuinona listi ya simba na kujua hawawezi kushindana nayo wakaanza kutafuta visingizio!
Fyekelea mbali!
Akili yako inarandana haswa na jina lako.Upinzani msitake kuhadaa umma ...bali kubalini tu mmepoteza mvuto.
Nakumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014 kulikuwa na the so called UKAWA basi mjini na vijijini kulikuwa na heka heka haswa na hivyo kupelekea CCM kuvuja jasho.
Baada ya uongozi mbovu wa Mbowe na usanii wa hali ya juu kuhusu UKAWA kulikopelekea Kina Slaa na Lipumba kuondoka basi tunashuhudia hasira za wananchi dhidi ya vyama vilivyounda Ukawa...
Kama wapinzani wamepoteza mvuto kwanini mmeita watendaji ikulu na kuwapa semina elekezi waharibu form za wagombea wa upinzani??Upinzani msitake kuhadaa umma ...bali kubalini tu mmepoteza mvuto.
Nakumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014 kulikuwa na the so called UKAWA basi mjini na vijijini kulikuwa na heka heka haswa na hivyo kupelekea CCM kuvuja jasho.
Baada ya uongozi mbovu wa Mbowe na usanii wa hali ya juu kuhusu UKAWA kulikopelekea Kina Slaa na Lipumba kuondoka basi tunashuhudia hasira za wananchi dhidi ya vyama vilivyounda Ukawa...
Tena zilitumika pesa nyingi kugharamia nauli, posho, na semina ya watendaji kwa muda wote waliokuwepo Dar.Kama wapinzani wamepoteza mvuto kwanini mmeita watendaji ikulu na kuwapa semina elekezi waharibu form za wagombea wa upinzani??
Tuanzie hapo kwanza.
Upinzani msitake kuhadaa umma ...bali kubalini tu mmepoteza mvuto.
Nakumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014 kulikuwa na the so called UKAWA basi mjini na vijijini kulikuwa na heka heka haswa na hivyo kupelekea CCM kuvuja jasho.
Baada ya uongozi mbovu wa Mbowe na usanii wa hali ya juu kuhusu UKAWA kulikopelekea Kina Slaa na Lipumba kuondoka basi tunashuhudia hasira za wananchi dhidi ya vyama vilivyounda Ukawa...
Upinzani msitake kuhadaa umma ...bali kubalini tu mmepoteza mvuto.
Nakumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014 kulikuwa na the so called UKAWA basi mjini na vijijini kulikuwa na heka heka haswa na hivyo kupelekea CCM kuvuja jasho.
Baada ya uongozi mbovu wa Mbowe na usanii wa hali ya juu kuhusu UKAWA kulikopelekea Kina Slaa na Lipumba kuondoka basi tunashuhudia hasira za wananchi dhidi ya vyama vilivyounda Ukawa...
Ukawa ilijengwa kushibisha matumbo ya watu
Sisi Wananchi hatujaona manufaa ya Ukawa zaidi ya kuambiwa tuzungushe mikono mikono tu
ukawa ikawa ukiwaUpinzani msitake kuhadaa umma ...bali kubalini tu mmepoteza mvuto.
Nakumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014 kulikuwa na the so called UKAWA basi mjini na vijijini kulikuwa na heka heka haswa na hivyo kupelekea CCM kuvuja jasho.
Baada ya uongozi mbovu wa Mbowe na usanii wa hali ya juu kuhusu UKAWA kulikopelekea Kina Slaa na Lipumba kuondoka basi tunashuhudia hasira za wananchi dhidi ya vyama vilivyounda Ukawa...
Upinzani msitake kuhadaa umma ...bali kubalini tu mmepoteza mvuto.
Nakumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014 kulikuwa na the so called UKAWA basi mjini na vijijini kulikuwa na heka heka haswa na hivyo kupelekea CCM kuvuja jasho.
Baada ya uongozi mbovu wa Mbowe na usanii wa hali ya juu kuhusu UKAWA kulikopelekea Kina Slaa na Lipumba kuondoka basi tunashuhudia hasira za wananchi dhidi ya vyama vilivyounda Ukawa...
Watafyekwa mapema sana ,bora VYAMA vyote vifutwe vinaleta matatizo tu
State agent
Hili suala mbona haliitaji ata tafakuli.Vyama vingi vilianza mwaka 1992, katika kipindi chote hiki wagombea kupitia vyama vya upinzani wamekuwa wakijaza form za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kupitia vyama vyao husika bila wagombea hao kuzuiwa Kwa wingi kugombea kutokana na fosari kwenye form za maombi.
Nini kimetokea safari hii wagombea Kwa mamia na maelfu wa upinzani kuenguliwa kutokana na sababu mbalimbali?
Shida ni wagombea wenyewe, vyama vyao au tume?