Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Hakuna jinsi wanalijua hilo walichofanya ni kama yanga kuinona listi ya simba na kujua hawawezi kushindana nayo wakaanza kutafuta visingizio!
Fyekelea mbali!
 
Akili yako inarandana haswa na jina lako.
Unachanganya masuala. Suala hapa ni jinsi mawakala wa ccm walivyovuruga mchakato wa uchaguzi. Wewe unaleta suala la UKAWA.
Mwenye akili timamu hawezi kudai kuwa upinzani umepoteza mvuto kwa wananchi bali wahusika wanawahofia:
1. Zilitumika fedha na nguvu kubwa kuwashawishi viongozi na wanachama wa CDM kuhamia upande wa pili,
2. Serikali ya ccm iliwafunga mikono wapinzani wasifanya siasa wakati wao wakutana kwa raha zao, na
3. Vyama visivyo tishio kwnn uengue wagombea wao?
Viongozi wa vyama vya upinzani ni makini sana. Walisoma upepo wa kisulisuli na wakamua waepushe madhara kwa wafuasi wao. Unathubutu vipi kumkabili kichaa mwenye rungu na askari waliojifunza kupiga risasi na kuua?
 
Kama wapinzani wamepoteza mvuto kwanini mmeita watendaji ikulu na kuwapa semina elekezi waharibu form za wagombea wa upinzani??

Tuanzie hapo kwanza.
 
Kama wapinzani wamepoteza mvuto kwanini mmeita watendaji ikulu na kuwapa semina elekezi waharibu form za wagombea wa upinzani??

Tuanzie hapo kwanza.
Tena zilitumika pesa nyingi kugharamia nauli, posho, na semina ya watendaji kwa muda wote waliokuwepo Dar.
 
Mbona rahisi tu ukawa wamejitoa kwahiyo kura zote ni zenu ccm
Nalog off
 

Kwani ccm mnahitaji nn zaidi? Wapinzani wamejitoa sasa si viti vyote mnavichukua? Sasa makelele ya nn, kila kona chadema chadema, wao wameshatoka nyie endeleeni si ndio good credit kwenu?
 
Unaweza kuwa shoga wewe!!
 
ukawa ikawa ukiwa
 

Mmepiga siasa miaka minne wenyewe, kila aliyewakosoa mmembambikizia kesi, kumfilisi, kuteka, kupiga risasi mpaka kuua. Kisha mkawa mnajipigia propaganda kuwa mnakubalika, kumbe wananchi tunawachora tu. Baada ya kujua mnawatia watu hofu na hamuwezi ushindani tumegoma kujiandikisha, na hatushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi. Subirini hiyo 24/11 muone kama hao watu mliokuwa mnajivunia wanawakubali kama mtawaona. Miaka ya siasa chafu za kishamba ilishapita.
 
Watafyekwa mapema sana ,bora VYAMA vyote vifutwe vinaleta matatizo tu

State agent

Bora ww umekuja na wazo sahihi la kuisadia vizuri ccm. Ila kwa bahati mbaya utumwani Misri tulishatoka na huturudi tena kwenye mfumo wa chama kimoja. Naona yale mliyotegemea hayatimii, kama mlijiandaa na uchaguzi wa hujuma, tulianza kwa kususia kujiandikisha mkaongeza siku nayo haikusaidia ikabidi mpike idadi. Mkaja kwenye hujuma za fomu, nazo wapinzani wamejitoa, sasa mmefanya kituko cha wazi eti mnawarudisha kwa lazima, nayo tunasema hamna mtu atashiriki ushenzi.

Hiyo 24/11 tunawaachia mcheze disco la watu wa jinsia moja, lakini hamna wapiga kura watajitokeza. Siasa za kipumbavu hatuna muda nazo. Huyo mnayemsujudia ndio kapandikiza siasa za kishenzi akidhani anakubalika, na nyie mkazikubali saa hii tunawalambisha mchanga tu.
 
Wananchi hawana shida na wapinzani, bali wale wanaokusanya kodi zao halafu wanatumia ndivyo sivyo.
 
Vyama vingi vilianza mwaka 1992, katika kipindi chote hiki wagombea kupitia vyama vya upinzani wamekuwa wakijaza form za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kupitia vyama vyao husika bila wagombea hao kuzuiwa Kwa wingi kugombea kutokana na fosari kwenye form za maombi.

Nini kimetokea safari hii wagombea Kwa mamia na maelfu wa upinzani kuenguliwa kutokana na sababu mbalimbali?

Shida ni wagombea wenyewe, vyama vyao au tume?
 
Hili suala mbona haliitaji ata tafakuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…