Wacha kujitekenya mwenyeo halafu ikawa unacheka pekeyako bara barani huo ni uchuzi umesahau wale watumishi wa uchaguzi wa serekali za mitaa walioitwa kule ikulu na akiwemo na pole poleAnalyses ni nyingi lakini naamini kwa umri wa CCM hawakustahili kuwa na viongozi wa ubora wa chini kiasi hiki. Hapa tatizo hata siyo Jafo au Magufuli. NI huko chini wanaotafuta kumpa furaha rais. Wanajikuta wanafanya mambo kama ya kindergarten.
Ni watu ambao ukiwatupia kamba hawawezi hata kujinyonga.
Mshauri mkuu wa mtukufu ni Daud Bashite ambaye ndiye Naibu Rais kwa sasa na mkuu wa kitengo cha kamati ya ufundi ya mtukufuAnalyses ni nyingi lakini naamini kwa umri wa CCM hawakustahili kuwa na viongozi wa ubora wa chini kiasi hiki. Hapa tatizo hata siyo Jafo au Magufuli. NI huko chini wanaotafuta kumpa furaha rais. Wanajikuta wanafanya mambo kama ya kindergarten.
Ni watu ambao ukiwatupia kamba hawawezi hata kujinyonga.
Wagombea wa CCM wote ni malaika toka mbinguni hawakosei kituSwali la pili.
Kwanini wagombea wa CCM wao hawajakosea kujaza fomu?
Andika unachotaka kusema. Mambo ya unakumbuka, unakumbuka mpaka lini? Hapa tunajadili wewe unaanza unakumbuka utadhani tunaishi familia moja. Write, argue!Wacha kujitekenya mwenyeo halafu ikawa unacheka pekeyako bara barani huo ni uchuzi umesahau wale watumishi wa uchaguzi wa serekali za mitaa walioitwa kule ikulu na akiwemo na pole pole
Tukubali tu kwamba na ubora wa upinzani nao uongezeke. We can't continue with such noise makers, with no previous convincing historical successful people. They are the best disco dancers and school runaways who pose like our guides to nowhere!Naibu Rais Daud Bashite anataka Nchi irejee kwenye mfumo wa chama kimoja wapate kutawala milele kama China Cameroon Uganda cuba , hataki kusikia vyama vingi
Vyama vingi vilianza mwaka 1992, katika kipindi chote hiki wagombea kupitia vyama vya upinzani wamekuwa wakijaza form za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kupitia vyama vyao husika bila wagombea hao kuzuiwa Kwa wingi kugombea kutokana na fosari kwenye form za maombi.
Nini kimetokea safari hii wagombea Kwa mamia na maelfu wa upinzani kuenguliwa kutokana na sababu mbalimbali?
Shida ni wagombea wenyewe, vyama vyao au tume?
Tunajua na unajua jinsi mnavyo "wanyoosha" kwenye hilo box. Hata Jecha aliwanyoosha CUF kwenye hilo box la kura.Warudishwe tu hata kama hawajui kusoma na kuandika Tutawanyoonsha kwenye boksi la kura
Haya ndio matunda ya kutawaliwa na chama dola kwa zaidi ya miaka 55;tatizo la sisi middle class tunajiona tumeshayatoa maisha!!!.
Sio kosa lao ni Elimu bure ya CCM
CCM inafahamu udhaifu wa wapinzani kuwa huwa wanataka pepo bila kukubali kufa. CCM/TANU haikukamata dola hivihivi kimchezomchezo kutoka kwa wakoloni. Baba wa taifa alikubali kuacha kazi yenye mshahara ili aende akadai uhuru ambao hakujuwa ungepatikana lini. Wapinzani wanadhani eti ni rahisi CCM iwaachie nchi hivihivi. Viongozi wa upinzani wana mali nyingi sana zinazohitaji huruma ya TRA na kulindwa na mfumo ulio chini ya CCM, viongozi hawakubali kufilisika kwaajili ya vyama vyao. Kwao wao vyama vya siasa ni kazi ya kujipatia kipato sawa na kazi nyingine, hii ni tofauti wakati wa akina mzee Nyerere. Ndiyo maana vyama vya siasa vya upinzani sio vyama madhubuti kwakuwa vinachanganya na biashara ndani yake. Ona akina waheshimiwa Slaa, Lowassa, Marando, Mrema, Lamwai, Cheyo, Mbowe, Mbatia, nk.Tukubali tu kwamba na ubora wa upinzani nao uongezeke. We can't continue with such noise makers, with no previous convincing historical successful people. They are the best disco dancers and school runaways who pose like our guides to nowhere!