Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kata ya Kigamboni, Mtaa wa Feri Wagombea wote wa upinzani Hawajateuliwa.
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Kata ya Mabibo Mtaa wa Matokeo Wagombea wote wa Upinzani Hawajateuliwa.
Jimbo la Ubungo, Kata ya Manzese: Mtaa Chakula Bora - Wagombea wote wa upinzani wameondolewa na CCM wote kupitishwa
Ruangwa, Lindi: wagombea wote wa vyama vya upinzani wameondolewa. Pia taarifa kutoka Liwale Mkoa huo huo wa Lindi viongozi wote wa upinzani wanatafutwa na vyombo wa dola
Mtaa wa Jitegemee kata ya Mabibo Maelekezo ya Kitowateuwa Wagombea wetu wa ACT Wazalendo na Vyama Vyengine Vya Upinzani kwa Nafasi zote na Kuwapitisha CCM peke yao
Mtaa wa Golani, Kata ya Kimara kwa Wagombea Wote ACT Wazalendo na Chadema Wamekatwa na Msimamizi kutekeleza Maagizo
View attachment 1254688View attachment 1254689View attachment 1254690View attachment 1254691View attachment 1254692View attachment 1254693View attachment 1254694View attachment 1254695View attachment 1254696View attachment 1254697