Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Wapinzani Wasingetaka kushiriki nafikiri wangesema hatutashiriki. Kama wameenguliwa kwa kukosa vigezo swali ni iweje mwaka huu wote hao wasiwe na vigezo?
 
Yaani wapinzani hata kujaza tu fomu hawajui!!?? Halafu waongoze nchi??
 
Wanaamua kupitisha wagombea wao tu. Si huwa wanajisifu kuwa CCM inakubalika mbona wamekuwa waoga hivyo?. Nilichobaini ni kwamba walivyoitwa ikulu ilikuwa ni sehemu ya mkakati huu haramu. Tusubiri kuwaona mnavyokwenda peponi kwa dhuluma.
 
Nchi nzima 80% ya wagombea wa ccm wamepita cdm na wenzake wamekwama
 
Wanaamua kupitisha wagombea wao tu. Si huwa wanajisifu kuwa CCM inakubalika mbona wamekuwa waoga hivyo?. Nilichobaini ni kwamba walivyoitwa ikulu ilikuwa ni sehemu ya mkakati huu haramu. Tusubiri kuwaona mnavyokwenda peponi kwa dhuluma.
Wakati umefika sasa Kwa vyama vya upinzani kubuni biashara nyingine au kazi nyingi za kufanya ,kwani kuendelea kufanya siasa mnapoteza muda wenu bureeee, bora mkalime matango pori.
 
Nj
Njia bora ya kutuvusha ni Bunge lifute tuu sheria iliyoruhusu vyama vingi na kurudisha chama kimoja kwa sababu inawezekana hao waombaji wa vyama vya upinzani wana makosa ya kiufundi katika ujazaji wa Fomu lakini kwa kutopitishwa kwao kunaleta mtazamo hasi dhidi ya serikali na chama tawala.

Nakumbuka miaka ile ila sehemu ya kazi kuna ofisi ya chama cha wafanyakazi na ofisi ya CCM; turudi tuu huko
 
Asante BWANA YESU kwa kuruhusu niishi zama hizi tena nchin Tanzania!!!! Nina furaha kwakwer kushuhudia vichekesho kama hivi hahahahahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…