minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Huyu kiongozi ni mwendawazimu bayana!! Haya ndio maagizo aliyowapa watendaji alipowaita?
Tunaruhusuje kuongozwa na mtu mwenye matatizo kichwani? Na watu wazima wanakubali tu kutekeleza maagizo ya kiwenda wazimu
Mshauri wake mkuu Daud Bashite hana vyeti na yeye mwenyewe PhD yake ni ya utata na kibaya zaidi washauri wa Naibu Rais Daud Bashite ni akina cyprian Musiba , Le mutuz na Joseph yona, ebu cheki huu mtiririko ndipo utabaini kuwa ipo shida kubwa kwenye mfumo wa utawala awamu hii ya tano