LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa: Mamia ya wagombea wa upinzani waenguliwa, waapa 'kutosusia shamba'

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Acheni upumbavu...hayo mambo ya kuenguliwa yameanza na Magufuli 2019... mtu akikosea si anatakiwa tu arekebishe? Viongozi wa serikali ya mitaa wote wakiwa na kazi maaalum watawahudumia saa ngapi wananchi? Ccm yenye wagombea wengi yenyewe kila kitu kiko sawa? Acheni upumbavu
 
Eti machafuko labda machafuko ya nyumbani kwako au tumboni mwako. Usitutishe. Fuateni taratibu.
 
Kwani uchaguzi huu ni wa Chadema na CCM tu! Naona mimba changa inakusumbua, nitakutumia embe changa za Tanga na udongo wa Kigoma.
 
Wanao ahirisha kufikiri kisiasa kwa nafsi zao mimi nina ufafanuzi wao, huu hapa, unaitwa unyumbu wa kisias.

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki)
 
Magufuli alisema asitishwe leo yupo wapi??? Unaweza kujiona wewe ni mjanja una walinzi, huguswi ila yupo ambaye hatishwi na ulinzi mzee!! Huyo ndiye anayedili na watu kama nyinyi kimya kimya! Usijifanye mjanja mnafanya mambo ya kihuni mkafikri mpo salama! Hao wanaokuzunguka kukutia moyo kwenye maovu siku ukiwa ICU hutawaona na hapo ndipo utakapojua ni nini maana ya kutenda haki! Lakini itakuwa too late! Wewe unafikiri hiyo nafasi umewekwa na wanadamu lakini hujui umewekwa hapo na Mungu! Endelea kufanya maovu! Ukiona unapumua Mungu anakuvumilia angalau unaweza kubadilika, ila kwa kiburi chako unafikiri wewe ni mjanja! Endelea tu
Eti machafuko labda machafuko ya nyumbani kwako au tumboni mwako. Usitutishe. Fuateni taratibu
 
Magufuli alisema asitishwe leo yupo wapi??? Unaweza kujiona wewe ni mjanja una walinzi, huguswi ila yupo ambaye hatishwi na ulinzi mzee!! Huyo ndiye anayedili na watu kama nyinyi kimya kimya! Usijifanye mjanja mnafanya mambo ya kihuni mkafikri mpo salama! Hao wanaokuzunguka kukutia moyo kwenye maovu siku ukiwa ICU hutawaona na hapo ndipo utakapojua ni nini maana ya kutenda haki! Lakini itakuwa too late! Wewe unafikiri hiyo nafasi umewekwa na wanadamu lakini hujui umewekwa hapo na Mungu! Endelea kufanya maovu! Ukiona unapumua Mungu anakuvumilia angalau unaweza kubadilika, ila kwa kiburi chako unafikiri wewe ni mjanja! Endelea tu! Hizo taratibu enzi za kikwete zilikuwa zinafuatwa saivi ndo hazifuatwi alafu wasio zifuata ni upinzani tu! Acheni viburi vya madaraka!
Eti machafuko labda machafuko ya nyumbani kwako au tumboni mwako. Usitutishe. Fuateni taratibu
 
Watu sio wajinga huko mtaani watendaji, (wawakilishi), wenu watashindwa kufanya kazi kikamilifu,

CCM mmelifikisha taifa hapa lilipo kwasababu ya unyumbu wa kisiasa,

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri Kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa viongozi wao bila utii, (unafiki), a.k.a kujizima data
 
Bara la Giza.
 
mbona unataja chadema tu? vyama vingine je?
 
Miaka zaidi ya 30 watu bado hawajui kujaza form za kugombea upngozi🤣🤣🤣🤣. Huu ujuha kuna muda utatugharimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…