Headless chickenMkuu uchaguzi utaendelea kama ulivyopangwa. Mligomea kujiandikisha, Watanzania wenye sifa wakajiandikisha. Baada ya kuaibika huko, mmenda kichwakichwa kuchukua fomu za kugombea hata taratibu hamzijui na hamkujiandaa. Mmefutwa. Sasa eti uchaguzi ufutwe. Haufutwi ng'ooo!