Uchaguzi Serikali za Mitaa ufutwe

Uchaguzi Serikali za Mitaa ufutwe

Mkuu uchaguzi utaendelea kama ulivyopangwa. Mligomea kujiandikisha, Watanzania wenye sifa wakajiandikisha. Baada ya kuaibika huko, mmenda kichwakichwa kuchukua fomu za kugombea hata taratibu hamzijui na hamkujiandaa. Mmefutwa. Sasa eti uchaguzi ufutwe. Haufutwi ng'ooo!
Headless chicken
 
Umenena vyema Sana mtoa hoja ila ingekuwa vizuri ungetuwekea data za kutosha kuhusu hoja zako ili tukuelewe zaidi,kwani kusema Tu bila ushaidi ni ngumu kukuamini

Je wapinzani wamekataa kweli kwa kuonewa au ni mpango wao? Nadhani waliokuwa wanajaza walikuwa na kopi za hizo karatasi watuonyeshe hayo pia
wewe mvuta bangi mm nina suali moja huu uchafuzi wa serikali za mitaa unasimamiwa na nani ni makada wa ccm au ni watu huru?
 
Back
Top Bottom