Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

Mnafana kila kitu. Tunawatukana kwa sababu hiyo ndiyo silaha yenu dhidi ya e wale wasiowaunga mkono. Kwahiyo dawa ya Moto huwa ni Moto!
 
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
Kwa hayo yote tume, polisi na wakurugenzi, Sasa mtashindaje wakati umeshapata sababu za kushindwa?
 
Nilikuwa napenda tuendelee kuheshimu katiba kuhusu vipindi vya urais lakini ujinga na upumbavu ulioonyeshwa na baadhi ya watu humu imenifikirisha kuwa pengine tufanye marekebisho ya katiba ili JPM aendelee hata baada ya 2025
Mungu mkubwa wenye kuona mbali tunazidi ongezeka. Tukitoka hapo tuje kwenye dini.



MAGUFULI4LIFE.
 
Delete CCM oct.28. Lissu ndio rais tunayemtaka. Hao watakayemtaka Tume ya Uchaguzi hatumtambui,
 
Mbowe alitangaza Nia baada ya kuona mziki wa Magufuli akaingia mitini na Wala Hana haja ya kupoteza muda wake kushughulika na Amsterdam na Lissu, katulia kimyaaaaa.
 
Chadema hawajashika dola na wamepoteza wengi .... Wangwe, yule mkulima wa kilombero aliyekuwa anagombea shamba na Mbowe, Ben saa8, mmempiga Lissu risasi Sasa viongozi wamemsusa hawamsaidii kukampeni nk.
 
Mwingine anasema asiposhinda ataingiza watu barabarani, mwambieni huko barabarani aingie yeye na mke wake - Ihiiiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣
Naskia watoto wake wako Ubelgiji. Wajinga ndio waliwao!
 
Chadema hawajashika dola na wamepoteza wengi .... Wangwe, yule mkulima wa kilombero aliyekuwa anagombea shamba na Mbowe, Ben saa8, mmempiga Lissu risasi Sasa viongozi wamemsusa hawamsaidii kukampeni nk.
Bila kusahau Zitto alinusurika baada ya kupewa sumu. "Chacha Wangwe died, I won't"
 
Chadema hawajashika dola na wamepoteza wengi .... Wangwe, yule mkulima wa kilombero aliyekuwa anagombea shamba na Mbowe, Ben saa8, mmempiga Lissu risasi Sasa viongozi wamemsusa hawamsaidii kukampeni nk.

Wanafanyiana wenyewe halafu wanasingizia wengine
RIP Wangwe


Ila hawajamsusa kwenye kampeni wamegundua hashindi yanini wapoteze resources mahali pasipokua na faida?
 
Hoja zako ni mfu.

Ccm inabebwa na mfumo yaani katiba wala si utendaji.
Kama ulivyosema cdm inabebwa na lissu uchaguz huu ila kumbuka Msingi ulijengwa na Watu wengine pia wapo waliopoteza mpaka maisha na bado mbowe Aeiinua mpaka leo UNAITENGENEZEA HOJA HAPA.

Ukizungumzia wabunge kukosa nafasi basi kwa akili yako finyu ndy unajua kinakufa kumbuka UPINZAN WALIGOMEA UCHAGUZ WA MARUDIO ZANZIBAR 2015 NA BADO WATU WAPO WANALIAMSHA DUDE NA NI TISHIO KUBWA TENA.

UCHAGUZ WA MITAA HAWAJASHIRIKI NA MWAKA UMEKATA WANANCHI HAWAONI TOFAUTI SEMBUSE KUKOSA HAO WABUNGE KADHAA.

WATANZANIA WANATAKA MABADILIKO WASIPOYAONA CCM WANATAFUTA HUKO KWINGINE. UCHAGUZI HUU UNAWEZA KULETA MABADILIKO MAKUBWA SANA HAUTAISHA KAMA ZILE ZA MAMLUKI WA CCM SLAA, MREMA,LOWASA NA LIPUMBA.
 
Nice try though!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…