Bora sema wewe, tukisema sisi, tutanyooshewa vidole vya Makada!.
P
Kwa Nchi ipi? Labda Taifa lako binafsi siyo Tanzania hiiNa madiwani
Utopolo [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha umama mtoto wa kiume, nitakulawi....[emoji41]Labda jeshi la viroboto
Kwamba mnatafuta uteuzi kumbe ndio uhalisia..Bora sema wewe, tukisema sisi, tutanyooshewa vidole vya Makada!.
P
Ndiyo ni tena mkuu[emoji23]Lissu Amiri Jeshi Mkuu Ajaye... #NiYeye2020
Kama ingekuwa hivyo unavyowaza NECCCM Tumeccm Polisiccm wasingekuwa busy kuwahujumu kuidhoofisha chadema wangeacha wananchi waamue wenyeweYaani chadema Kama chama kikuu Cha upinzani kimepoteza muelekeo,huwezi kuwaaminisha watu eti utashinda urais na wakati wagombea ubunge na madiwani hawana muelekeo,utashinda vp Kama cibangi hizo? Hata Kama ukishinda bado Hawa wenye wabunge wengi watawapelekesha tuuu kiufupi vyama vya upinzani mnatimiza wajibuu Hapo.
Ni bora pole pole achukue posho yake aliyokulipa maana utumbo uliouandika hata wewe huuamini!!!Kuna watu humu wanajipa moyo eti CDM hii ya Lissu, Mbowe, Mnyika, Heche, Halima, Bulaya Matiko na Wenzake wanaweza kuishinda CCM ya Magufuli, Bashiru Ali, Mangula, na mfumo mzima wa Chama Cha Mapinduzi...
MTI-PI-DII-FHa ha ha ha ha, wa Red brigade bila shaka
Nawewe unakubaliana naye kuwa Magufuli ni Maarufu kuliko chama chake??Bora sema wewe, tukisema sisi, tutanyooshewa vidole vya Makada!.
P
We wasema!Hatutaki Rais dikteta ,sauti za wananchi kuzizima, bunge letu kuwa kibogoyo, Radio zote kutangaza habari za ccm,magazeti yote kutangaza habari za ccm,watu kupigwa risasi ovyo na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa ,kulagai wakulima kuwa nitanunua mazao lakini ndio kwanza mazao yamekufa ,korosho hola,alizeti hola,mpunga hola,kahawa hola biashara nyingi zimefungwa sasa serikali ya namna hii ni ya nini huyu ni Idd Amini wa Tanzania hafai hata kwa kulumagia