Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

Aseme nini? Hakuna cha maana kasema pale zaidi ya porojo tu, Tambua kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho na sasa CCM inafika mwisho wake Nchi inaenda kupata uhuru upya tokea chato kwa Mkoloni kaburu mweusi na ndipo utawala wa haki utaingia ikulu kuleta usawa maridhiano ya kitaifa
Wahutu wametuharibia sana nchi yetu
 
..Tundu Lissu ana kipaji cha siasa kumzidi Magufuli.

..Na matumizi ya Tundu Lissu ktk kampeni siyo makubwa kama ya Magufuli / CCM...
CCM mpya ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
 
CCM sio chama cha mchezo mchezo.
Kama kuna mgombea anadhani anaweza kuishinda CCM kwa kutumia twitter, anajidanganya sana.
CCM ni chama cha mchezo mchezo zaidi hakijiamini ndiyo maana kinatumia NECCCM Tumeccm na Polisiccm kuwahujumu kuwadhoofisha chadema
 
Kwa maana ya kuchukua nchi siyo rahisi Ila wabunge wataongezeka wanaweza pata zaidi ya wabunge 50,mkoa wa Mara una majimbo 9 ukweli ni kwamba majimbo 5 lazima yaende upinzani labda ukomandoo utumike.
 
Kwa maana ya kuchukua nchi siyo rahisi Ila wabunge wataongezeka wanaweza pata zaidi ya wabunge 50,mkoa wa Mara una majimbo 9 ukweli ni kwamba majimbo 5 lazima yaende upinzani labda ukomandoo utumike.
Mzee acha kuishi kwa kumbukumbu za nyuma kumbuka sasa ni mwaka 2020 ni mwaka wa maajabu CCM inaenda kuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenya
 
Paskal mayala sasa yupo taabani kifikira kajitoa fahamu zote kaamua kuishi kwa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
Jambo moja ambalo mnalo nyie chadema wa mitandaoni ni lile la kutokata tamaa...ukweli ni kuwa Lissu atashindwa vibaya Kila mkoa...Singida atashindwa, Kilimanjaro atashindwa, Arusha atashindwa, Lindi atashindwa na Mtwara pia na hata Kigoma...ila pengine kule Pemba kwa maaalim anaweza kufurukuta...lakini Unguja atashindwa, Tanga atashindwa, kagera atashindwa, mbeya atashindwa, iringa atashindwa...Dar es salaam pia atashindwa...kwa Dar es Salaam Lissu anaonekana Kama kituko..watu hawana time na Lissu kabisa.
 
Mzee acha kuishi kwa kumbukumbu za nyuma kumbuka sasa ni mwaka 2020 ni mwaka wa maajabu CCM inaenda kuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenya
Ha ha ha kweli maajbu. Kama ni maajabu sawa!
 
Jambo moja ambalo mnalo nyie chadema ni lile la kutokata tamaa...ukweli ni kuwa Lissu atashindwa vibaya Kila mkoa...Singida atashindwa, Kilimanjaro atashindwa, Arusha atashindwa, Lindi atashindwa na Mtwara pia na hata Kigoma...ila pengine kule Pemba jwa maaalim anaweza kufurukuta...lakini Unguja atashindwa, Tanga atashindwa, kagera atashindwa, mbeya atashindwa, iringa atashindwa...Dar es salaam pia atashindwa...kwa Dar es Salaam Lissu anaonekana Kama kituko..watu hawana time na Lissu kabisa.
Well said mkuu. Hata Lissu analijua Hilo na wala hana mpango huo wa Kushinda. Isipokuwa lengo lake ni kuleta tension tu ambacho actually ndicho alichofanya kufanya!
 
Back
Top Bottom