Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

W WAzembe watakuwa wameteseka saana
Wezi watakuwa wameteseka saana
Mafisadi watakuwa wameteseka saaana
Wasaliti watakuwa wameyeseka saana
Wenye raho mbaya wameteseka saana
Sasa jione kati ya hao upo kundi gani?
 
W
WAzembe watakuwa wameteseka saana
Wezi watakuwa wameteseka saana
Mafisadi watakuwa wameteseka saaana
Wasaliti watakuwa wameyeseka saana
Wenye raho mbaya wameteseka saana
Sasa jione kati ya hao upo kundi gani?
Teh teh teh, Lissu ndio mfariji wao sasa na anawaletea ndoto zisizokuwepo
 
Pasipo mayala bado awazazia uteuzi hajawahi kutambua kuwa hawezi kupata uteuzi
Unajuaje...Mayalla ni professional siamini Kama anawazia hayo...ila wanaowasema wenzao kuwa wanawazia wao ndio huwazia hivyo Mara nyingi
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
 
Teh teh teh, Cha ajabu miaka 25 Sasa mnapambana nao hamjawahi kufikisha hata wabunge 100 wa kuchaguliwa!
Sio kila siku ni Juma pili safari hii mtaondoka kwa njia yoyote
 
Tutaondolewa na huyu lissu aliyekata tiket ya kurudi ubeligiji [emoji3][emoji3]

Baada ya Watanzania kumpuuuza
Sio kila siku ni Juma pili safari hii mtaondoka kwa njia yoyote
 

Watanzania wataendelea tena na miaka mingine mitano ya KILIO na KUSAGA MENO wakati pedeshee Meko ataendelea kuzunguka na fuko lake lenye CASH nyingi kuzidi za Escrow!!!!
 
Vipi hapo ?
 
Tunahitaji rais atakaye tutendea haki,atakayetufariji na kujali matatizo yetu.Haya mambo ya wasiojulikana,kupotezana,kuokota kwenye viroba siyo seheme kabisa ya Tanzania ya baba wa Taifa Mwl.Nyerere.MITANO TENA HAIWEZEKANI.

Na kuhusu wanao ongelea AMANI bila kwanza kuongelea HAKI,hao ni wajinga.AMANI NI TUNDA LAKI.Kwa hiyo usiongelee amani kabla hujaongelea HAKI.
 
W
WAzembe watakuwa wameteseka saana
Wezi watakuwa wameteseka saana
Mafisadi watakuwa wameteseka saaana
Wasaliti watakuwa wameyeseka saana
Wenye raho mbaya wameteseka saana
Sasa jione kati ya hao upo kundi gani?
Mi ni yule mkulima wa korosho, mmachinga, mwanafunzi niliemaliza elimu ya Juu na nina deni la HSLB, mfanyakazi wa serikali na mwana familia ya Ben Sanane na Azory Gwanda

Natumai wewe utakua kibaka wa CCM chini ya jambazi mkuu John Pombe Joseph Magufuli (meko)
 
Hii ni kwa mjibu was nani!? Robert Amsterdam, Fatuma Karume au Maria Sarungi
 
😂 Yaani unaongea ukweli wote buana!!!😄😄😄 Siku nyingine usifanye hivyo, kwani unakatisha tamaa Watu
 
Miaka mitano ijayo Watanzania wajiandae kufa midomo wazi waishie kuzikwa makaburi msafa!
 
Mbona thread yako haina uhalisia na muonekano wa Kampeni?! Hayo yote uliyosema mwisho kampeni zimesimamiwa na Diamond Harmonize Zuchu na Wasanii wengi.Pamoja na yote uliyosema mwaka huu ndo CCM imevunja rekodi ya kusomba watu kutoka mikoa jirani hadi kanda kwa ajili ya mkutano mmoja(zamani tulizoea ndani ya wilaya).Ni kipindi hiki CCM inalazimisha shule zifungwe kwa muda ili watumishi na wanafunzi waende kwenye mikutano yao!!!
Ni kipindi hiki pekee tumeona tume ya taifa ya Uchaguzi na Jeshi la Polisi wakiingilia kampeni za uchaguzi "Live" mpaka wapinzani kufungiwa siku za kupiga Kampeni!!
Km uliyoandika yangekuwa na uhalisia tungefika huko kweli!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…