Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

Ndoto zako hizo kwasababu umeshiba fedha za wizi za ccm.
 
Ndoto zako hizo kwasababu umeshiba fedha za wizi za ccm.
Teh teh teh, Naganga Njaa tu ndugu yangu, hapa baada ya haka ka thread nimeshapewa buku saba yangu napepea taratibu kutafuta Kande!
 
Ushamba kweli mzigo haswa ukiwa ujanani hukustarehe hukuwahi kwenda hata bugi wachilia mbali dansi haya ya CCM kuweka mabugi hadharani ushamba
 
Tusubiri matokeo, ndege mlizonunua kwa mbwembwe nyingi hamjathubutu kuzizungumzia kbs maana zimegeuka NIRA shingoni mwa Magu.
 
Genge la watu Sita, ambao hata ofisi hawana ndio linataka kuongoza nchi hii. Watanzania makini, hatuwezi chagua hili genge la wahuni.
 

Mm kwangu hataka Lisu hatoshinda Sina tatizo as long as Mr jpm amepata ujumbe kuwa abadili Aina yake ya uongozi

Coz kwa miaka mitano hakuna mtu yoyote alikuwa na uwezo wa kusema chochote wala kushauri chochote kila mtu ni muoga
 
Bora sema wewe, tukisema sisi, tutanyooshewa vidole vya Makada!.
P

Hahahaha Kaka yangu Mayalla ww ulikuwa unaaminika Sana kwenye taarifa zako hasa kwa sisi tunaokujua since upo udsm

Sasa ulipokuja kuleta Habari kuwa ww ni mwana CCM na unatetea mambo mengi hata yasio ya msingi hapo Sasa ndio kila mtu ameanza kukuona tofauti

Kama ungekuwa na Mayalla magazine ungeshangaa jinsi ambavyo biashara ingekuwa imekudodea
 
E
Endelea kujidanganya. Jpm anakabidhi nchi asubuhi Mana wizi mwaka huu utamtokea punani. Siyo ule wizi alioufanya kumuibia lowasa.
 
Tanzania imebadilika sana!!!

Kama Chadema na Tundu Lisu wanawalaza na viatu CCM ndio maana vikwazo haviishi.
Kwa mfano kanda ya Kusini (Lindi na Mtwara) yote imebadilika sana na kwakua Magufuli hafiki kule wakaona njia ya kujinusuru ni kumzuia Lisu asifanye kampeni.
Hata hivyo wanachokipata sasa kwenye kampeni wanakijua. Na watakachokipata baada ya uchaguzi pia watakijua.
 
E

Endelea kujidanganya. Jpm anakabidhi nchi asubuhi Mana wizi mwaka huu utamtokea punani. Siyo ule wizi alioufanya kumuibia lowasa.
Teh teh teh teh, tarehe.29 wewe ni kati ya wale ambao Madonda yenu ya tumbo yatapanda kiwango na kuwa KansaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hussein Mwinyi aka Mtalii kutoka Mkuranga awaandaa Interahamwe wa ZEC/NEC ili kupiga kura hewa 27 na wakishindwa wanachomoa Mapanga na kuanza "kazi"
 
Teh teh teh teh, tarehe.29 wewe ni kati ya wale ambao Madonda yenu ya tumbo yatapanda kiwango na kuwa KansaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We unafikiri kwa Nini watu wanajaa wengi sana kwenye mikutano ya lisu japo Hana promo ya wasanii na tv zote zimezuiliwa! Jpm amecomand mpaka mitandao ya simu imuandike yeye tu lakini watu bado wanamkimbilia lisu. Hujiulizi kuwa watanzania hawalitaki li jiwe
 
Kamweleze mamako
 
Hivi kama ingewezekana mkapata ushindi majimbo yote 100% na Bunge mkawa CCM pekee, hivi mtajisikiaje?

Kama tu 3/4 ni nyinyi bungeni na serikalini miaka 50 still tunatoa elimu kwa jamii kuhusu Huduma za matumizi sahihi ya choo, na mkiongezewa miaka 50 mingine mtabadili nini?

Ruhusuni haki tupate maendeleo

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…