Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

CCM sio chama cha mchezo mchezo.
Kama kuna mgombea anadhani anaweza kuishinda CCM kwa kutumia twitter, anajidanganya sana.
Sio cha mchezo mchezo kwa systemic election manoeuvres. (Wizi wa kura na unfair playing ground) Otherwise ccm imechokwa.
 
Rudia kusoma nilichokiandika halafu punguza mihemko ya uchama...
Nimekujibu hiyo ndio Maana ya Demokrasia, pamoja na hayo unayoyaongea wewe kwa muona wako bado wanazengo wanaona Chama kiendelee kuwaongoza
 
Ingekua imepotea msingekua mnatumia mitandao ya simu na sport pesa kuwaambia watu wamchague jiwe ilhali mmejaza mabango yake Tz nzima..
 
Sio cha mchezo mchezo kwa systemic election manoeuvres. (Wizi wa kura na unfair playing ground) Otherwise ccm imechokwa.
Halafu nyie mnaopendwa mnaambulia Wabunge hawafiki hata 100.
 
Ingekua imepotea msingekua mnatumia mitandao ya simu na sport pesa kuwaambia watu wamchague jiwe ilhali mmejaza mabango yake Tz nzima..
Sasa si ndio utaratibu wa Demokrasia, kwamba Mgombea Sharti ajinadi na aombe kura. Na nyie fanyeni nani amewashika mikono;
 
Sasa si ndio utaratibu wa Demokrasia, kwamba Mgombea Sharti ajinadi na aombe kura. Na nyie fanyeni nani amewashika mikono;
Demokrasia gani hiyo mwanaccm anayohubiri? Tume, bunge, Vyombo vya dola,mahakama,vyombo vya habari mmevikamata haswa halafu unaniambia habari ya demokrasia au kuna demokrasia ya aina nyingine ndani ya ccm?
 
Sasa si ndio utaratibu wa Demokrasia, kwamba Mgombea Sharti ajinadi na aombe kura. Na nyie fanyeni nani amewashika mikono;
Na Yale mabomu somanga ni utaratibu?. Mnajitahidi sana kutetea kamungu kenu hata pale kanapofanya Dhambi.
 
Kuna watu humu wanajipa moyo eti CHADEMA hii ya Lissu, Mbowe, Mnyika, Heche, Halima, Bulaya Matiko na Wenzake wanaweza kuishinda CCM ya Magufuli, Bashiru Ali, Mangula, na mfumo mzima wa Chama Cha Mapinduzi..
Ugumu wa maisha ya watanzaniandio utawafunza kuchagua kwa hekima miaka minne imewafunza sana
 
Kabisa mkuu.si umeona tume kumsimamisha.mara kimbunga usiende kilwa mara mabomu aibu tupu
Ila pia yafaa kuchukua sample ya moshi unaotumika kama malengo ni yale yaliokusudiwa,kwani wasiyempenda kawarudia.
 
Kuna watu humu wanajipa moyo eti CHADEMA hii ya Lissu, Mbowe, Mnyika, Heche, Halima, Bulaya Matiko na Wenzake wanaweza kuishinda CCM ya Magufuli, Bashiru Ali, Mangula, na mfumo mzima wa Chama Cha Mapinduzi..

CCM - Lowasa huwezi gombea urais, mwache Jakaya apeperushe bendera ya chama chetu. Lowasa atakua waziri mkuu👍

CHADEMA - Jakaya dhaifu, tunataka rais mwenye maamuzi magumu😍
- Lowasa fisadi tena fisadi papa. Ajiuzuluuuuu aondokeeee hatufaiiiii anauza nchiiii😍😍

CCM - Jakaya anamaliza muda wake, Lowasa anataka kupeperusha bendera lakini hatufai... hata kama wajumbe wamempitisha kwa maslahi mapana ya taifa na kwa vizazi vijavyo tumkate Lowasa tumpe John Pombe Magufuli😁👍

CHADEMA - Lowasa ni kiongozi shupavu sana. Inabidi tumwombe ahamie kwetu, tumpe nafasi agombee urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tena atakuja na mtaji wa watu na pesa. Tutashinda🤔👎

CCM - John Pombe Magufuli ameshinda na ndie rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania😍🍹🍸💃👍

CHADEMA - John Pombe Magufuli hafai, hashauriki, ana maamuzi magumu sanaaaa😆👎

CCM - Tanzania ni tajiri sana,wananchi tuchape kazi.Tujenge mashule, mahospitali, barabara,viwanda👍

CHADEMA - Serikali haijali wananchi. Serikali inajali maendeleo ya vitu na sio watu👎

CCM - Bila kuijenga madarasa watoto wetu watasoma wapi, bila hospitali mtatibiwa na bila bararabara mtapita wapi. Hakuna maendeleo ya vitu bila watu👍

CHADEMA - Tutawasemea kwa Amstadam mnatuonea, tutamwambia hatutaki barabara, wala mahospitali, wala mashule wala viwanda. Sisi tunataka maendeleo ya watu🤣👎👎

WATANZANIA - Nyie CHADEMA msituchezee, mmetuona watoto wadogoooo. Tunasema 5tena kwa John Pombe Magufuli tarehe 28.10.2020. Hakuna wa kumshinda Magufuli😍🇹🇿😍👍👍👍👍

Heri kujiunga DECI kuliko kujiunga chadema BAK
 
Demokrasia gani hiyo mwanaccm anayohubiri? Tume, bunge, Vyombo vya dola,mahakama,vyombo vya habari mmevikamata haswa halafu unaniambia habari ya demokrasia au kuna demokrasia ya aina nyingine ndani ya ccm?
Sasa si mvichukue na nyingi Kama mna uwezo huo!
 
Na Yale mabomu somanga ni utaratibu?. Mnajitahidi sana kutetea kamungu kenu hata pale kanapofanya Dhambi.
Wameshakueleza, hakuwa na ratiba ya mkutano hapo. Anataka kuongoza Nchi halafu hataki kuheshimu Sheria zilizotungwa na Watanzania kipitia Bunge lao
 
Ugumu wa maisha ya watanzaniandio utawafunza kuchagua kwa hekima miaka minne imewafunza sana
Ni lini Watanzania waliwahi kuwa na maisha Mepesi. Labda yamekuwa magumu kwa kina Fatuma Karume, Maria Sarungi and the Co. Watanzania wengine maisha ni Yale yale!
 
Hatutaki Rais dikteta ,sauti za wananchi kuzizima, bunge letu kuwa kibogoyo, Radio zote kutangaza habari za ccm,magazeti yote kutangaza habari za ccm,watu kupigwa risasi ovyo na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa ,kulagai wakulima kuwa nitanunua mazao lakini ndio kwanza mazao yamekufa ,korosho hola,alizeti hola,mpunga hola,kahawa hola biashara nyingi zimefungwa sasa serikali ya namna hii ni ya nini huyu ni Idd Amini wa Tanzania hafai hata kwa kulumagia
1603555320291.png
 
Back
Top Bottom