Tetesi: UCHAGUZI TLS: Mawakili wa serikali(TAMISEMI) "kufundwa" kesho Arusha, kura zao zaleta hofu

wewe akili yako haiko sawa, aliyeleta taarifa hiyo hapa ndio anapaswa kuthibitisha ukweli wake and not me
... Huwezi kumuita mtu muongo bila kuleta ukweli, kama unaona kukutaka ulete ukweli ghafla kumenifanya nipungukiwe akili that is your problem.
 
Mawakili wa kujitegemea ni wengi kuliko wa serikali pumbafu zao
 
Members wa TLS ni zaidi ya 4,000. Hata wakija 30% tu hawa wanaofundwa hawawezi kubadili chochote. Wanajitekenya tu.
 
Bashite wino wote huu wa bundle unaumalizia kwa kutoa puvu hivi?

Kwanini hela yako ya bundle usingetumia kusoma vitabu online vikakusaidia kupanua uelewa wako wa mambo.
line ya chuo anatumia
 
Mataifa huwatawala kwa nguvu, na wakubwa wao huwatumikisha. Lakini haitakuwa hivyo kwenu; bali mtu yeyote anayetaka kuwa mkubwa kwenu, na awe mtumishi wenu; na mtu yeyote anayetaka kuwa wa kwanza kwenu na awe mtumwa wenu; kama vile Mwana wa Adamu asivyokuja kutumikiwa, bali kutumikia na kutoa nafsi yake iwe fidia ya wengi
 
Mwakyembe zamani
 
Mawakili wa serikali na mashirika ya umma wachague kimakini wasibebwe na upepo.ni hayo tu
 
alafu jamaa anasema anapambana na rushwa awamu hii,........without transparency?
 
Maneno mengi ila pumba.... Nimeshindwa kumalizia
 
kwa behaviors za mwakyembe juu ya uchaguzi huo, jambo hili lina wezekana.sponsor atakuwa magufuli, facilitator mwakyembe, ukumbi wa jiji, mawakili ni tulia, mwasonga,..................
 
mm ni upcoming lawyer, naomba niulize hv mawakili wa serikali nao wanahusika kwny chaguzi za tls?
 
Members wa TLS ni zaidi ya 4,000. Hata wakija 30% tu hawa wanaofundwa hawawezi kubadili chochote. Wanajitekenya tu.
Time will tell hao wengine hela hawana arusha hawaendi mujiandae kupambana na mawakili wa serikali na mashirika ya umma kibaka wenu hapiti
 
Wakapige tu lkn wakijua kuwa security ya kazi ndani ya govt iko very uncertain now days.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…