Mawakili wenyewe wa serikali makanjanja ile mbaya. Hawawezi kushinda hata kesi ya kuku. Waachwe wafundwe Kama Mabibi yanayosubiri kuolewa. Mtu mwenye taaluma yake hafundwi.Kuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani
Chondechonde,kura ni siri,msikubali kuelekezwa.
Mkutano utafanyika ukumbi wa jiji
TLS hakikisheni usiri mkubwa unakiwepo kuwalinda hawa na ajira zao
Maoni: huu ni uchaguzi wa TLS tu,2020 itakuwaje?
Wakumbuke kuwa Leo kwangu kesho kwako.Wanasheria walinde hadhi yaoKuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani
Chondechonde,kura ni siri,msikubali kuelekezwa.
Mkutano utafanyika ukumbi wa jiji
TLS hakikisheni usiri mkubwa unakiwepo kuwalinda hawa na ajira zao
Maoni: huu ni uchaguzi wa TLS tu,2020 itakuwaje?
Akili unayoitumia sio yako ni kama bashite na vyeti!!Mimi naamini mawakili hawatamchagua Lissu kwani wanafurahishwa Na utendaji bora wa serikali ya awamu ya tano inayozingatia haki zote Za msingi Za binadamu.
Mwakyembe Asiwe Na hofu. Serikali imeifanyia mengi tasnia ya sheria cha muhimu imtangaze hadharani Nani wanayemtaka Ili achaguliwe.
Hii Kali ya mwaka,ukweli mtupuMawakili wenyewe wa serikali makanjanja ile mbaya. Hawawezi kushinda hata kesi ya kuku. Waachwe wafundwe Kama Mabibi yanayosubiri kuolewa. Mtu mwenye taaluma yake hafundwi.
Jumla ya mawakili ni 6000 je wakienda wote?Hapa nadhani uelewa wa mawakili unatakiwa zaidi.Amini usiamini ikiwa mawakili wa serikali watahudhuria kiujumla wao na kama tunavyojua watu wa serikali wanatetea ugali wao ni dhahiri kura za wagombea zinaweza kuangukia kwenye mteule wa mkuu. Jumla ya halmashauri zote ni zaidi ya mawakili100 hivyo tukaze moyo.
WakiliKwani kura inapigwa na nani
Mkuu nakuhakikishia mwakyembe hajawahi kuwa wa maana hata kidogo, NBC alikosa mtu wa kumuheshimu na kumwambia utapata kiasi fulani ndio akakomalia, richmond alikuwa anatengenezwa na ikulu na ndio maana alikuja kupewa naibu Waziri, na richmond alisimama kidete kwa sasa babu alijua mkataba ukivunjwa Tanesco wangejeukia umeme wa Upepo anaofua huko singida!!! Nakuhakikishia mwakyembe hajawahi kuwa na uchungu na nchi hii bora Makmwandosya mungu amsaidia!!!!Achana na akili za njaa mkuu, hivi ungetegemea Mwakyembe ndo awe anafanya haya mambo?
Mwakyembe aliyekataa NBC isiuzwe, Mwakyembe wa Richmond alikuwa ni mtu mwenye heshima zake.
Leo hii anaweza kusimama na kusema Rais hajavunja katiba kuchagua wabunge wa wanaume 6.
Sikulaumu . Ushauri wa bure ukisoma andiko jaribu kutafakari mara mbili kusudio la mwandishi. Hapa tunaandika maandiko kwa ajili ya great thinkers sio watoto wa chekechea. Kwa kukurahisishia hii comment yangu ilikuwa Na Maana ifuatayo.Akili unayoitumia sio yako ni kama bashite na vyeti!!
Mia wakati pale kuna mawakili elfu Sita, unaleta mchezo wewe. Mimi ni wakili katika......Fulani na nitamchagua TLHapa nadhani uelewa wa mawakili unatakiwa zaidi.Amini usiamini ikiwa mawakili wa serikali watahudhuria kiujumla wao na kama tunavyojua watu wa serikali wanatetea ugali wao ni dhahiri kura za wagombea zinaweza kuangukia kwenye mteule wa mkuu. Jumla ya halmashauri zote ni zaidi ya mawakili100 hivyo tukaze moyo.
Angalia unakimbia made unaanzisha vihoja kwa akili kama za kwako ndo maana Hitler alikuwa anawapiga risasiBashite wino wote huu wa bundle unaumalizia kwa kutoa puvu hivi?
Kwanini hela yako ya bundle usingetumia kusoma vitabu online vikakusaidia kupanua uelewa wako wa mambo.
Sahani mkuu unabishana na mwanamke ya nini? Unasoma tu unamwacha alivoTaja makosa ambayo mpaka sasa Mahakama imemkuta nayo!
Maajabu hayo mkuu huyu jamaa anahangaika na mengi iko siku atahangaika na TFF akigundua anaegombea ni Mchadema teh, teh, teh, ....kweli hili chama SHILAWADU."kweli tundu lissu kawatoa jasho....." hadi kwenye chaguzi ya vyama vidogo vidogo bado mnaleta ubabaishaji usirudie kosa 2020 fanya maaumuzi sahihi