Uchaguzi Uganda: Polisi yamshikilia Besigye

Uchaguzi Uganda: Polisi yamshikilia Besigye

Yoweri Museveni at Moshi Cooperative college in the 70s.png

Huyu m7 na mwanae Moshi Chuo cha Ushirika early 1970s akila mazoezi ya uchakachuaji toka kwa CCM
Chama chochote kinachoshikamana na CCM ndo tabia yake yote museveni kafundishwa na chama cha mapinduzi.
 
Afrika demokrasia ni kushinda chama dola ndio yale yale wanamlaumu mkurunzinza wakati na wao hivyo hivyo huku kwetu umuoni jecha alivyofanya
 
mgombea urais nchi uganda kizza besigye leo amepigwa mabomu na kukamatwa wakati akienda chuo kikuu makerere,huu ni muendelezo wa watawala serikali za kiafrika kuogopa wapinzani kuwaondoa madarakani

Ndiyo hapo fisadi Lowasa ajifunze na kushukuru Mungu kuzaliwa TanZania, nchi ambayo Upinzani unamtukana Raisi wa nchi unavyotaka hakuna mtu anakugusa, Tundu Lisu alisema mbele ya halaiki kwamba ataongoza maandamano kwenda mpka Ikulu kumtoa Raisi wa JMTZ jambo ambalo kwa nchi nyingine ni uhaini lkn bado yupo tu ananenepeana kama Nguruwe na hakuna aliyemgusa yeye au matakataka wenzake na bado wanachonga kwamba hakuna kitu kimefanywa na CCM kwenye hii nchi, jifunzeni sasa kwa wenzenu kwamba CCM na Serikali yake wana uwezo wa kuwafanyia Umafia kama wakiamua na hakuna kitu mtafanya!

Acheni kudanganya watu sijui mnasibiri Amri ya fisadi Lowasa mkinukishe, nasema shukuruni Mungu mmezaliwa hii nchi inayoongozwa na Chama makini CCM!
 
Afrika demokrasia ni kushinda chama dola ndio yale yale wanamlaumu mkurunzinza wakati na wao hivyo hivyo huku kwetu umuoni jecha alivyofanya
Mkuu afrika ni afadhali turudishe utawala wa kikoloni kuliko huu ujinga
 
Ndiyo hapo fisadi Lowasa ajifunze na kushukuru Mungu kuzaliwa TanZania, nchi ambayo Upinzani unamtukana Raisi wa nchi unavyotaka hakuna mtu anakugusa, Tundu Lisu alisema mbele ya halaiki kwamba ataongoza maandamano kwenda mpka Ikulu kumtoa Raisi wa JMTZ jambo ambalo kwa nchi nyingine ni uhaini lkn bado yupo tu ananenepeana kama nguruwe na hakuna aliyemgusa yeye au matakataka wenzake na bado wanachonga kwamba hakuna kitu kimefanywa na CCM kwenye hii nchi, jifunzeni sasa kwa wenzenu kwamba CCM na Seriklai yake wana uwezo wa kuwafanyia Umjafia kama wakiamua na hakuna kitu mtafanya!

Acheni kudanganya watu sijui tunasibiri Amri ya fisadi Lowasa tukinukishe, naseam shukuruni Mungu mmezaliwa hii nchi inayoongozwa na Chama makini CCM!
Tangu muambiwe kuna U - DC wa bure mmepamba moto kweli !
 
Wewe ni kati ya watu wanao ongozwa na mihemuko ya kiitikadi, badala ya kujadili nini tunakiongelea hapa unatuletea kutukana viongozi wa cdm na kusifia hiyo ccm yako,jifunze kuwa na mawazo ya kibinadamu kuliko kubakia na akili ya kitumwa
 
Wapinzani lazima wajiandae kujilinda wenyewe
Hali inakuwa mbya ukifika wakati wa uchaguzi,huyu museveni sasa ni miaka 30 yupo madarakani lkn anatumia nguvu nyingi za vyombo vya dola kuwadhibiti opposition ili aendelee kubakia madarakani, huyo na nkurunzinza hawana tofauti
 
Mkuu afrika ni afadhali turudishe utawala wa kikoloni kuliko huu ujinga
Huyu mseveni kwa tizi la fisiem la uchakachuaji alilopata ni bora hao wapinzani waache tu ajitangaze maana akuna demokrasia afrika
 
Tangu muambiwe kuna U - DC wa bure mmepamba moto kweli !
Mkuu ni wajinga tu wanashindwa kutafuta kazi ki uhalali na badala yake wanakubali kuwa watumwa wa wakubwa,hawana tofauti na dada zetu wanaofanyishwa kazi za utumwa huko uarabuni
 
Inasikitisha sana mkuu
Ndio maana mkurunzinza alisema anapambana na majeshi ya au kasababu wanajuana akuna msafi hasa hivi vyama vikongwe kama fisiem wezi wananchi waliwakata tangu zamani sema ndio wizi tu
 
Back
Top Bottom