Uchaguzi Uganda: Polisi yamshikilia Besigye

Uchaguzi Uganda: Polisi yamshikilia Besigye

Braza Trump ni mkweli tena sna mi nashangaa watu wanataka mfumo wa vyama vingi wakati hawezi kwa nn
 
Halafu mazuzu wanasema Tanzania si nchi ya Amani

Nadhan uganda ndo pako shwari kumbe

Wabongo Msishibe mkasahau njaa
 
Mkuu ni aibu sana kuwa na viongozi wa aina hii wa kutanguliza maslahi ya matumbo yao,mtu kama mbunge unaingia kwenye biashara ya kusafirisha binadamu,ni hatari sana
halafu hii HUMAN TRAFFIC inapigwa vita dunia nzima .
 
Nani anamwongelea Raisi hapa ?? Ulivyo iweka CCM katikati ya madaraka ya Raisi ulikua na maana gani ?? Lowasa aliwahi kumtukana kiongozi yeyote hapa Tanzania ???
Kweli nyie ni matakataka ,Subiria jaramba la Jakaya kwa Magufuli ili awakumbuke maana njaa zitawaua hapa jamvini
Kweli kabisa mkuu sasa hivi wanafanya kazi kama huyu ndugu yao
1455552721259.jpg
 
Hakuna anayetishia chochote bali ni ukweli na ukweli ni lazima usemwe kwamba Raisi wa TZ ana uwezo wa kuyafanya maisha ya akina fisadi lowasa, Tundu Lisu na takataka wengine kuwa magumu hapa TanZania kutokana na jinsi walivyotukana miaka yote lkn bado alikaa kimya kuwaacha wafanye wanavyotaka hivyo wanapaswa kama vile Lipumba alivyosema kwa yanayoendela Uganda nafsi zao ziwasute na wajifunze kuwa wastaarabu na wavumilivu pale ambapo wengine wanavyoamua kuwavumilia hasa kwenye kauli zao!
Ngiri utamjua tu
1455552794928.jpg
 
Wafuasi wa CCM wanafurahia haya bana ya Uganda siku ya ukombozi ukifika watalipa yote ya miaka 30
 
Ndiyo hapo fisadi Lowasa ajifunze na kushukuru Mungu kuzaliwa TanZania, nchi ambayo Upinzani unamtukana Raisi wa nchi unavyotaka hakuna mtu anakugusa, Tundu Lisu alisema mbele ya halaiki kwamba ataongoza maandamano kwenda mpka Ikulu kumtoa Raisi wa JMTZ jambo ambalo kwa nchi nyingine ni uhaini lkn bado yupo tu ananenepeana kama Nguruwe na hakuna aliyemgusa yeye au matakataka wenzake na bado wanachonga kwamba hakuna kitu kimefanywa na CCM kwenye hii nchi, jifunzeni sasa kwa wenzenu kwamba CCM na Serikali yake wana uwezo wa kuwafanyia Umafia kama wakiamua na hakuna kitu mtafanya!

Acheni kudanganya watu sijui mnasibiri Amri ya fisadi Lowasa mkinukishe, nasema shukuruni Mungu mmezaliwa hii nchi inayoongozwa na Chama makini CCM!
Ni kweli hiki chama kipo makini make kimeiba hadi kimekuiba hadi wewe.
 
Hali inakuwa mbya ukifika wakati wa uchaguzi,huyu museveni sasa ni miaka 30 yupo madarakani lkn anatumia nguvu nyingi za vyombo vya dola kuwadhibiti opposition ili aendelee kubakia madarakani, huyo na nkurunzinza hawana tofauti
kwani mkuu hakuna possibility ya AU kutuma jeshi ili liwaondoe watu kama M7,Nkurunziza ,Kagame and the likes
 
Ndio maana mkurunzinza alisema anapambana na majeshi ya au kasababu wanajuana akuna msafi hasa hivi vyama vikongwe kama fisiem wezi wananchi waliwakata tangu zamani sema ndio wizi tu
Tunaendelea kuwa-miss our intellectual leaders like Mandela,Samora Michael, Patrice Lumumba, yaani wangelikuwepo leo hii nahisi wangelilia kwa kuiona afrika waliyoipigania inavyofanywa na mafisi watu
 
kwani mkuu hakuna possibility ya AU kutuma jeshi ili liwaondoe watu kama M7,Nkurunziza ,Kagame and the likes
Mkuu jambo la kujiuliza kwanza ni hao viongozi wa AU ni kina nani?Nani msafi wa kuamua kufanya au kufuata huo ushauri wako?jibu ni hakuna
 
Mkuu jambo la kujiuliza kwanza ni hao viongozi wa AU ni kina nani?Nani msafi wa kuamua kufanya au kufuata huo ushauri wako?jibu ni hakuna
mm nahisi tungelipata wakina magufuli kama 20 afrika nzima, maamuzi kama haya yangeliwezekana, yaani mshenzi nkurunziza anaua watu wake na kutishia kupambana na jeshi la wa AU halafu AU nao wanaufyata
 
Hata huyo magu ni sawa sawa na hao hao kina nkurunzinza tu,ingekuwa anatofauti angesha maliza tatizo la zenji
 
mm nahisi tungelipata wakina magufuli kama 20 afrika nzima, maamuzi kama haya yangeliwezekana, yaani mshenzi nkurunziza anaua watu wake na kutishia kupambana na jeshi la wa AU halafu AU nao wanaufyata

Magufuli amefanya nini Zanzibar?
 
Back
Top Bottom