Chama chochote kinachoshikamana na CCM ndo tabia yake yote museveni kafundishwa na chama cha mapinduzi.
mgombea urais nchi uganda kizza besigye leo amepigwa mabomu na kukamatwa wakati akienda chuo kikuu makerere,huu ni muendelezo wa watawala serikali za kiafrika kuogopa wapinzani kuwaondoa madarakani
Mkuu afrika ni afadhali turudishe utawala wa kikoloni kuliko huu ujingaAfrika demokrasia ni kushinda chama dola ndio yale yale wanamlaumu mkurunzinza wakati na wao hivyo hivyo huku kwetu umuoni jecha alivyofanya
Tangu muambiwe kuna U - DC wa bure mmepamba moto kweli !Ndiyo hapo fisadi Lowasa ajifunze na kushukuru Mungu kuzaliwa TanZania, nchi ambayo Upinzani unamtukana Raisi wa nchi unavyotaka hakuna mtu anakugusa, Tundu Lisu alisema mbele ya halaiki kwamba ataongoza maandamano kwenda mpka Ikulu kumtoa Raisi wa JMTZ jambo ambalo kwa nchi nyingine ni uhaini lkn bado yupo tu ananenepeana kama nguruwe na hakuna aliyemgusa yeye au matakataka wenzake na bado wanachonga kwamba hakuna kitu kimefanywa na CCM kwenye hii nchi, jifunzeni sasa kwa wenzenu kwamba CCM na Seriklai yake wana uwezo wa kuwafanyia Umjafia kama wakiamua na hakuna kitu mtafanya!
Acheni kudanganya watu sijui tunasibiri Amri ya fisadi Lowasa tukinukishe, naseam shukuruni Mungu mmezaliwa hii nchi inayoongozwa na Chama makini CCM!
Wewe ni kati ya watu wanao ongozwa na mihemuko ya kiitikadi, badala ya kujadili nini tunakiongelea hapa unatuletea kutukana viongozi wa cdm na kusifia hiyo ccm yako,jifunze kuwa na mawazo ya kibinadamu kuliko kubakia na akili ya kitumwaNdiyo hapo fisadi Lowasa ajifunze na kushukuru Mungu kuzaliwa TanZania, nchi ambayo Upinzani unamtukana Raisi wa nchi unavyotaka hakuna mtu anakugusa, Tundu Lisu alisema mbele ya halaiki kwamba ataongoza maandamano kwenda mpka Ikulu kumtoa Raisi wa JMTZ jambo ambalo kwa nchi nyingine ni uhaini lkn bado yupo tu ananenepeana kama nguruwe na hakuna aliyemgusa yeye au matakataka wenzake na bado wanachonga kwamba hakuna kitu kimefanywa na CCM kwenye hii nchi, jifunzeni sasa kwa wenzenu kwamba CCM na Seriklai yake wana uwezo wa kuwafanyia Umjafia kama wakiamua na hakuna kitu mtafanya!
Acheni kudanganya watu sijui tunasibiri Amri ya fisadi Lowasa tukinukishe, naseam shukuruni Mungu mmezaliwa hii nchi inayoongozwa na Chama makini CCM!
Hali inakuwa mbya ukifika wakati wa uchaguzi,huyu museveni sasa ni miaka 30 yupo madarakani lkn anatumia nguvu nyingi za vyombo vya dola kuwadhibiti opposition ili aendelee kubakia madarakani, huyo na nkurunzinza hawana tofautiWapinzani lazima wajiandae kujilinda wenyewe
Huyu mseveni kwa tizi la fisiem la uchakachuaji alilopata ni bora hao wapinzani waache tu ajitangaze maana akuna demokrasia afrikaMkuu afrika ni afadhali turudishe utawala wa kikoloni kuliko huu ujinga
kuna tuhuma moja tu ambayo namtupia Mungu nayo ni kunifanya nizaliwe africa .Kauli ya Mgombea urais Merikani Donald Trump inachukuwa nafasi yake.
Inasikitisha sana mkuuHuyu mseveni kwa tizi la fisiem la uchakachuaji alilopata ni bora hao wapinzani waache tu ajitangaze maana akuna demokrasia afrika
Mkuu ni wajinga tu wanashindwa kutafuta kazi ki uhalali na badala yake wanakubali kuwa watumwa wa wakubwa,hawana tofauti na dada zetu wanaofanyishwa kazi za utumwa huko uarabuniTangu muambiwe kuna U - DC wa bure mmepamba moto kweli !
Hata mimi najutia sana kuzaliwa afrikakuna tuhuma moja tu ambayo namtupia Mungu nayo ni kunifanya nizaliwe africa .
Ndio maana mkurunzinza alisema anapambana na majeshi ya au kasababu wanajuana akuna msafi hasa hivi vyama vikongwe kama fisiem wezi wananchi waliwakata tangu zamani sema ndio wizi tuInasikitisha sana mkuu
Mkuu kama kuna uwezekano wa kufunga na kuomba kwa dini zote basi tufanye hivyo ili ukoloni urudi afrika na waanze na tanzaniaTegemeo pekee la Africa ni kuomba Mungu ili wakoloni warudi .