Uchaguzi Uganda: Polisi yamshikilia Besigye

Braza Trump ni mkweli tena sna mi nashangaa watu wanataka mfumo wa vyama vingi wakati hawezi kwa nn
 
Halafu mazuzu wanasema Tanzania si nchi ya Amani

Nadhan uganda ndo pako shwari kumbe

Wabongo Msishibe mkasahau njaa
 
Mkuu ni aibu sana kuwa na viongozi wa aina hii wa kutanguliza maslahi ya matumbo yao,mtu kama mbunge unaingia kwenye biashara ya kusafirisha binadamu,ni hatari sana
halafu hii HUMAN TRAFFIC inapigwa vita dunia nzima .
 
Kweli kabisa mkuu sasa hivi wanafanya kazi kama huyu ndugu yao
 
Ngiri utamjua tu
 
Wafuasi wa CCM wanafurahia haya bana ya Uganda siku ya ukombozi ukifika watalipa yote ya miaka 30
 
Ni kweli hiki chama kipo makini make kimeiba hadi kimekuiba hadi wewe.
 
Hali inakuwa mbya ukifika wakati wa uchaguzi,huyu museveni sasa ni miaka 30 yupo madarakani lkn anatumia nguvu nyingi za vyombo vya dola kuwadhibiti opposition ili aendelee kubakia madarakani, huyo na nkurunzinza hawana tofauti
kwani mkuu hakuna possibility ya AU kutuma jeshi ili liwaondoe watu kama M7,Nkurunziza ,Kagame and the likes
 
Ndio maana mkurunzinza alisema anapambana na majeshi ya au kasababu wanajuana akuna msafi hasa hivi vyama vikongwe kama fisiem wezi wananchi waliwakata tangu zamani sema ndio wizi tu
Tunaendelea kuwa-miss our intellectual leaders like Mandela,Samora Michael, Patrice Lumumba, yaani wangelikuwepo leo hii nahisi wangelilia kwa kuiona afrika waliyoipigania inavyofanywa na mafisi watu
 
kwani mkuu hakuna possibility ya AU kutuma jeshi ili liwaondoe watu kama M7,Nkurunziza ,Kagame and the likes
Mkuu jambo la kujiuliza kwanza ni hao viongozi wa AU ni kina nani?Nani msafi wa kuamua kufanya au kufuata huo ushauri wako?jibu ni hakuna
 
Mkuu jambo la kujiuliza kwanza ni hao viongozi wa AU ni kina nani?Nani msafi wa kuamua kufanya au kufuata huo ushauri wako?jibu ni hakuna
mm nahisi tungelipata wakina magufuli kama 20 afrika nzima, maamuzi kama haya yangeliwezekana, yaani mshenzi nkurunziza anaua watu wake na kutishia kupambana na jeshi la wa AU halafu AU nao wanaufyata
 
Hata huyo magu ni sawa sawa na hao hao kina nkurunzinza tu,ingekuwa anatofauti angesha maliza tatizo la zenji
 
Hivi viongozi wa Afrika wanajisikiaje?
 
mm nahisi tungelipata wakina magufuli kama 20 afrika nzima, maamuzi kama haya yangeliwezekana, yaani mshenzi nkurunziza anaua watu wake na kutishia kupambana na jeshi la wa AU halafu AU nao wanaufyata

Magufuli amefanya nini Zanzibar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…