PreGE2025 Uchaguzi ukiwa wa uhuru na haki, Tundu Lissu anashinda kweupe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Hili halina mjadala hata CCM wanalijua hilo,leo hii kukawepo na tume huru ya uchaguzi,kila kitu kikaenda kwa haki Chadema wanashinda uchaguzi mapema kabisa,

Lakini CCM kwa kulijua hilo ndiyo maana hawaachi fingusi zao za kutokutenda haki ili wapate mbeleko za kuwabeba wajifanye wameshinda uchaguzi
Kama kweli wanajiamini kwa nini wasiache haki afate mkondo,kuna nini kinachozuia pasiwepo na tume huru ya uchaguzi?
 
Toka lini kaburi ukauliza sura ya marehemu ambayo ni ccm.CCM sasa imekuja na mfumo waukimwi sijui ndio mama ana tumia.
 
Hili halina mjadala hata CCM wanalijua hilo,leo hii kukawepo na tume huru ya uchaguzi,kila kitu kikaenda kwa haki Chadema wanashinda uchaguzi mapema kabisa,

Lakini CCM kwa kulijua hilo ndiyo maana hawaachi fingusi zao za kutokutenda haki ili wapate mbeleko za kuwabeba wajifanye wameshinda uchaguzi
Kama kweli wanajiamini kwa nini wasiache haki afate mkondo,kuna nini kinachozuia pasiwepo na tume huru ya uchaguzi?
Yes gentleman,
huyo kibaka wa siasa atashinda njaa kwa kishindo sana, huku utapeli wa no reform no elections ukiendelea kupuuzwa na wananchi :NoGodNo:
 
Sasahivi ndio wanatoa Yale makadi yao kama ATM halafu unapigwa picha sijui kwanini?
 
Umejuaje kama yeye ndie atakayegombea urais ilhali bado hajatangaza nia? Wakimpendekeza mtu mwingine je?
 
Sio TAL Peke yake, Kifupi Uchaguzi ukiwa huru na haki, hakuna kabulu mweusi yeyote wa CCM atashinda
 
CCM ikubali tu kushindwa ikawa chama cha upinzani wakajifunze siasa za upinzani kisha wananchi wataikumbuka na kuirudisha tena madarakani kama vyama vya marekani, uingereza na ujerumani vya republic, democratic, labour, conservative, CDU, na SPD mwendo ni kuheshimu maamuzi ya wananchi kuchagua chama wanachovutiwa na sera zake
 
Hili halina mjadala hata CCM wanalijua hilo,leo hii kukawepo na tume huru ya uchaguzi,kila kitu kikaenda kwa haki Chadema wanashinda uchaguzi mapema kabisa,

Lakini CCM kwa kulijua hilo ndiyo maana hawaachi fingusi zao za kutokutenda haki ili wapate mbeleko za kuwabeba wajifanye wameshinda uchaguzi
Kama kweli wanajiamini kwa nini wasiache haki afate mkondo,kuna nini kinachozuia pasiwepo na tume huru ya uchaguzi?
Hilo linaeleweka mbona?
Hakuna haja ya kuumiza kichwa kujadili sababu, hapa tujadili njia za kufuata ili kukomesha hii neo coloniolisim!
 
Kama mnapendwa mbona hamtaki tume huru na mabadiliko ya katiba?
Gentleman,
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania,
inaendelea vyema na zoezi la kuandikisha wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwa mkoa wa Dar es Salaam kama sehemu ya maandalizi ya mwisho kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi utakaofanyika kwa salama na amani bila mbambamba za kibaka yoyote wa siasa October mwaka huu2025.

mabadiliko ya katiba sio kipaumbele cha wananchi ispokua marekebisho :NoGodNo:
 
Hili halina mjadala hata CCM wanalijua hilo,leo hii kukawepo na tume huru ya uchaguzi,kila kitu kikaenda kwa haki Chadema wanashinda uchaguzi mapema kabisa,

Lakini CCM kwa kulijua hilo ndiyo maana hawaachi fingusi zao za kutokutenda haki ili wapate mbeleko za kuwabeba wajifanye wameshinda uchaguzi
Kama kweli wanajiamini kwa nini wasiache haki afate mkondo,kuna nini kinachozuia pasiwepo na tume huru ya uchaguzi?
Hapo nakubaliana na wewe!
 
Back
Top Bottom