Yes gentleman,Hili halina mjadala hata CCM wanalijua hilo,leo hii kukawepo na tume huru ya uchaguzi,kila kitu kikaenda kwa haki Chadema wanashinda uchaguzi mapema kabisa,
Lakini CCM kwa kulijua hilo ndiyo maana hawaachi fingusi zao za kutokutenda haki ili wapate mbeleko za kuwabeba wajifanye wameshinda uchaguzi
Kama kweli wanajiamini kwa nini wasiache haki afate mkondo,kuna nini kinachozuia pasiwepo na tume huru ya uchaguzi?
Kama mnapendwa mbona hamtaki tume huru na mabadiliko ya katiba?Yes gentleman,
huyo kibaka wa siasa atashinda njaa kwa kishindo sana, huku utapeli wa no reform no elections ukiendelea kupuuzwa na wananchi
Chadema wanashinda uchaguzi mapema kabisa,
Hilo linaeleweka mbona?Hili halina mjadala hata CCM wanalijua hilo,leo hii kukawepo na tume huru ya uchaguzi,kila kitu kikaenda kwa haki Chadema wanashinda uchaguzi mapema kabisa,
Lakini CCM kwa kulijua hilo ndiyo maana hawaachi fingusi zao za kutokutenda haki ili wapate mbeleko za kuwabeba wajifanye wameshinda uchaguzi
Kama kweli wanajiamini kwa nini wasiache haki afate mkondo,kuna nini kinachozuia pasiwepo na tume huru ya uchaguzi?
Gentleman,Kama mnapendwa mbona hamtaki tume huru na mabadiliko ya katiba?
Hapo nakubaliana na wewe!Hili halina mjadala hata CCM wanalijua hilo,leo hii kukawepo na tume huru ya uchaguzi,kila kitu kikaenda kwa haki Chadema wanashinda uchaguzi mapema kabisa,