PreGE2025 Uchaguzi ukiwa wa uhuru na haki, Tundu Lissu anashinda kweupe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uchaguzi ukiwa huru na haki mgombea yeyote wa ccm hashindi!
Tuongee ukweli Wagogo huko Bahi wataendelea kuchagua wabunge wa CCM lakini maeneo mengine yote CCM italambishwa mchanga.
 
Tundu lissu hawezi kushinda ni debe tupu lile, kama Chadema wako serious watafute mgombea mwenye sifa na ushawishi kutoka CCM kwa gharama yoyote akina lissu wawe washambuliaji tu hapo watapata wabunge wengi siyo urais lakini.Watz siyo wa kuongozwa na watu wa dizaini ya lissu wanajua sana yeye apige kelele ila akijidanganya kugombea hataamini kitakachotokea atapigwa kihalali kabisa.Lissu ni zaidi ya dikteta
 
Tuongee ukweli Wagogo huko Bahi wataendelea kuchagua wabunge wa CCM lakini maeneo mengine yote CCM italambishwa mchanga.
Kwa yale mawazo aliyonayo Job Ndugai bila shaka Wagogo wa sasa wamepata muamko
 
Tibaijuka alishasema mfumo ukpo compromised
 
Atapigiwa kura na nani maana mkewe tu HAWEZI kumpigia kura?
 
Uchaguzi ukiwa huru na haki mgombea yeyote wa ccm hashindi!

CC wanajua kuwa hawawezi kushinda kwenye uchaguzi wa haki, kwa sababu wana uthibitisho. Mwaka 2015, Kikwete aliwaambia wajumbe wa kamati kuu kuwa Lowasa akiruhusiwa agombee kupitia CHADEMA, atashinda, akataka NEC watafute sababu yoyote waliondoe jina la Lowasa. Lakini wengine wakasema aachwe, zitumike njia za kuiba kura. Lakini pamoja na kumwibia kura, Lowasa akaonekana kuelekea kushinda. Kikwete alimaka na kusema, sikuwaambia? Sasa hakuna namna. Akaelekeza kuvamiwa kwa vituo vya kujumlishia kura za Rais vya CHADEMA, na zoezi likasimamiwa na Januari Makamba. Ikabidi NEC mutangaza kuwa Magu ameshinda, bila ya kuonesha alipata kura ngapi kwa kila kituo.

CCM wanajua kabisa kuwa Watanzania hawawataki.
 
Kweli kabisaa
 
'Deep state' ikibeba mikoba ya kulinda mustakabali wa nji yetu katika nyakati hizi, ... kila nyakati na kitabu chake... huenda muda ni muafaka sana kurejesha nji kwa watu wake. Mimi na wewe na wao tubaki salama nyumbani kwetu na tukarejee kwenye mstari wa sera za kustawisha watu wetu na sio tumbo zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…