kama umeajiriwa na unalipwa mshahara kwa mwezi fungua link hapo chini halafu weka mshahara wako ili ujue kiasi gani unatakiwa kupata baada ya PAYE kupunguzwaWalla sijakuelewa
Kaangalie vizuri mshahara wako wa kuanzia mwezi huu
Wafanyakazi wanataka mambo mazuri, si ndio haya sasa au unataka nini ?
Wewe unafikiri kujenga nchi ni kitu cha kitoto, huoni kila kitu kinafufuliwa, yaani ulalamike barabara mbovu, ulalamike hakuna shirika la ndege , ulalamike shirika la reli limekufa, ulalamike elimu ni ghali ulalamike mishahara midogo, sasa kiongozi anaanza na kimoja baada ya kingine unalalamika tena, kwa hiyo wewe ni kulalamika tu! haya endelea kulalamika.Enzi za Kikwete, madaraja ya wafanyakazi yalipanda kila baada ya miaka mitatu! Huyu mzee tangu alipoingia, ameuvuruga utaratibu wote kwa visingizio visivyoisha! Mara uhakiki, mara tumsubiri anunue ndege kwanza!
Hiyo payee iliyopunguzwa, au hata kama angewaongezea wafanyakazi kiasi cha sh. laki 1 kwenye mishahara yao, bado ingekua ni kazi bure! Daraja kwenye muundo wa kiutumishi, ndiyo kila kitu!
Na hii ndiyo changamoto inayotukera wafanyakazi tulio wengi! Haiwezekani tangu enzi za JK mpaka leo, wafanyakazi wanaishi kwa muundo ule ule wa mshahara!
Kiufupi, tu huyu mzee si msaada na si chochote kwa wafanyakazi wa nchi hii! Sidhani kwa mwenendo wake huu, kama atakuja kukumbukwa na mfanyakazi yeyote yule! Labda hao alio waajiri yeye mwenyewe, wale wa TRA na vyombo vya dola
Mshahara ni ile basic salary, na ndio itakayotumika kukokotolea mafao yako. Kama haijaongezeka hiyo, usijidanganye kusema kwamba mshahara umeongezekaKaangalie vizuri mshahara wako wa kuanzia mwezi huu
Mwezi huu wa tisa au huu wa nane?Kaangalie vizuri mshahara wako wa kuanzia mwezi huu
Huu wa nane, tumia hiyo link hapo chini kujua unatakiwa kupata kiasi gani?Mwezi huu wa tisa au huu wa nane?
Nchi haiwezi kuusha kujengwa na magufuli.Wewe unafikiri kujenga nchi ni kitu cha kitoto, huoni kila kitu kinafufuliwa, yaani ulalamike barabara mbovu, ulalamike hakuna shirika la ndege , ulalamike shirika la reli limekufa, ulalamike elimu ni ghali ulalamike mishahara midogo, sasa kiongozi anaanza na kimoja baada ya kingine unalalamika tena, kwa hiyo wewe ni kulalamika tu! haya endelea kulalamika.