T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Wa nane umepita, unazungumza vitu gani?Huu wa nane, tumia hiyo link hapo chini kujua unatakiwa kupata kiasi gani?
PAYEE Calculator
View attachment 1554215
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa nane umepita, unazungumza vitu gani?Huu wa nane, tumia hiyo link hapo chini kujua unatakiwa kupata kiasi gani?
PAYEE Calculator
View attachment 1554215
Nchi haiwezi kuusha kujengwa na magufuli.
Miundombinu ni suala la mwendelezo, halitakiwi kusababisha maisha mengine yasimame.
Nafikiri haufahamu ya kuwa huu ni mwaka wa 4 mfululizo PAYE Imekuwa ikipungua.SIku chache tu baada ya kampeni kuanza PAYE ( pay as you earn ) imepunguzwa na mishahara kuongezeka automatically, unafikiri nani hajui umuhimu wa demokrasia ya vyama vingi.
Jamani Demokrasia ya vyama vingi ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi, tusijiloge kufuta vyama vingi.
We utakuwa mgeni wa mshahara wewe. Hayo mambo ya mwezi 47 unaleta leo?SIku chache tu baada ya kampeni kuanza PAYE ( pay as you earn ) imepunguzwa na mishahara kuongezeka automatically, unafikiri nani hajui umuhimu wa demokrasia ya vyama vingi.
Jamani Demokrasia ya vyama vingi ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi, tusijiloge kufuta vyama vingi.
Tena kavuruga sio kidogo sasa hivi kupanda daraja sio miaka 3 tena ni miaka 4,na mara zote sheria inatakiwa kuanza kutumika kwa wafanayakzi wapya lakini kwa Magufuli inatumika hapo hapo ilipotungwa.Enzi za Kikwete, madaraja ya wafanyakazi yalipanda kila baada ya miaka mitatu! Huyu mzee tangu alipoingia, ameuvuruga utaratibu wote kwa visingizio visivyoisha! Mara uhakiki, mara tumsubiri anunue ndege kwanza!
Hiyo payee iliyopunguzwa, au hata kama angewaongezea wafanyakazi kiasi cha sh. laki 1 kwenye mishahara yao, bado ingekua ni kazi bure! Daraja kwenye muundo wa kiutumishi, ndiyo kila kitu!
Na hii ndiyo changamoto inayotukera wafanyakazi tulio wengi! Haiwezekani tangu enzi za JK mpaka leo, wafanyakazi wanaishi kwa muundo ule ule wa mshahara!
Kiufupi, tu huyu mzee si msaada na si chochote kwa wafanyakazi wa nchi hii! Sidhani kwa mwenendo wake huu, kama atakuja kukumbukwa na mfanyakazi yeyote yule! Labda hao alio waajiri yeye mwenyewe, wale wa TRA na vyombo vya dola
Nini ndugu, wewe tueleze tujue alipoTafadhali,
Mwambieni aongeze na pension za wastaafu. Walimkosea nini?Wewe unafikiri kujenga nchi ni kitu cha kitoto, huoni kila kitu kinafufuliwa, yaani ulalamike barabara mbovu, ulalamike hakuna shirika la ndege , ulalamike shirika la reli limekufa, ulalamike elimu ni ghali ulalamike mishahara midogo, sasa kiongozi anaanza na kimoja baada ya kingine unalalamika tena, kwa hiyo wewe ni kulalamika tu! haya endelea kulalamika.
Watu makini huangalia formula ya mafao ya kustaafu, sio punguzo la kodiHata kodi ikipungua automatically hela itaongezeka, ndio mshahara umeongezeka