Tunataka maendeleo ya watu na sio ya vituWewe unafikiri kujenga nchi ni kitu cha kitoto, huoni kila kitu kinafufuliwa, yaani ulalamike barabara mbovu, ulalamike hakuna shirika la ndege , ulalamike shirika la reli limekufa, ulalamike elimu ni ghali ulalamike mishahara midogo, sasa kiongozi anaanza na kimoja baada ya kingine unalalamika tena, kwa hiyo wewe ni kulalamika tu! haya endelea kulalamika.