Uchaguzi una raha yake, mpaka PAYE imepunguzwa

Umenena vyema sana mkuu

Yeye anataka amalize, matokeo tunaumizana
Nchi haiwezi kuusha kujengwa na magufuli.

Miundombinu ni suala la mwendelezo, halitakiwi kusababisha maisha mengine yasimame.
 
Nafikiri haufahamu ya kuwa huu ni mwaka wa 4 mfululizo PAYE Imekuwa ikipungua.
 
We utakuwa mgeni wa mshahara wewe. Hayo mambo ya mwezi 47 unaleta leo?
 
Unataka kujua jinsi gani unaweza , tafadhali muone mhasibu wako mpelekee table hapo chini halafu atakuelekeza
 
Mshahara ni ile basic salary, na ndio itakayotumika kukokotolea mafao yako. Kama haijaongezeka hiyo, usijidanganye kusema kwamba mshahara umeongezeka
Hata kodi ikipungua automatically hela itaongezeka, ndio mshahara umeongezeka
 
Huna akili!Unashabikia kutongozwa ili utiwe?Kipindi hiki cha uchaguzi wanatutongoza polepole ili watutie!
 
Huna akili!Unashabikia kutongozwa ili utiwe?Kipindi hiki cha uchaguzi wanatutongoza polepole ili watutie!
Jaribu kusoma maada yangu kabla hauja-comment chochote
 
Tena kavuruga sio kidogo sasa hivi kupanda daraja sio miaka 3 tena ni miaka 4,na mara zote sheria inatakiwa kuanza kutumika kwa wafanayakzi wapya lakini kwa Magufuli inatumika hapo hapo ilipotungwa.
 
Anabahati kwa kuwa anaongoza Tanzania ambapo kila jambo wanaona ni fadhira,Kenya wasingekubari tena kwenye hela hapo jamaa wako makin sana we fikiria bunge LA Afrika mashariki wamesusia kwa kutolipwa wakati wapo majumbani mwao kipind hiki cha korona
 
Mwambieni aongeze na pension za wastaafu. Walimkosea nini?
 
Hata kodi ikipungua automatically hela itaongezeka, ndio mshahara umeongezeka
Watu makini huangalia formula ya mafao ya kustaafu, sio punguzo la kodi
 
We jamaa chenga Sana, watu tuna miaka kibao hatuna annual increment Wala madaraja. Huko loan board Kikwete akinikata 37,000/- kwa mwezi huyu jamaa ananikata 142,000/- Wala sielewi. Nikaenda loan board head office ili niuze deni kwa CRDB nakuta napigiwa mahesabu deni Toka 2m had 5m, eti Kuna retention fee na administration fee ambayo haionekani kwenye salary slip. Mpuuzi sana ww mtoa mada watu tunateseka huku manina zako.
 
Kwa hiyo kabla ya Vyama vingi (1992) mishahara ilikuwa haipandi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…