Uchaguzi unaendelea kwa amani kama ilivyotarajiwa

Uchaguzi unaendelea kwa amani kama ilivyotarajiwa

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Hii ni kwa ajili ya sera nzuri za CCM ikiongozwa na Dr. Samia.
Isipokuwa kuna watu wana mipango mibaya ya kufanya vandalism.
Wanataka kuleta fujo siku ya Oktoba 29.
Wanadhani ikitokea rioting kama iliyofanyika Luanda, Angola siku za karibuni,basi hiyo ndiyo itakuwa Uhuru wa kisiasa wa kweli.
Wengine wanasema wameahidiwa na wanajeshi kwamba wananchi wakifanya vandalism siku ya Uchaguzi Jeshi litawalinda.
Vandalism maana yake destruction of property,kuharibu miundombinu, kuharibu Mali za watu.
Nchi sasa inahitaji maridhiano,inahitaji Chadema irudi katika Uchaguzi. Lakini watu wengine wanasema," tusifanye maridhiano,tufanye mambo kibabe"
Wanajeshi wapo katika Kampeni,wanamlinda Rais,unawaita 'chawa'. Chawa vipi? Wanamlinda Rais hiyo ndiyo kazi yao. Na kama askari wakivaa sare za CCM kumlinda Rais,huo ni ubunifu katika ulinzi,isilete malalamiko.
Uchaguzi ufanyike kwa amani. Yulinde maendeleo yaliyopatikana.
 
Mbona mnaweweseka tu kila muda! Mnafikiri wananchi wote ni wajinga na vilaza siyo! Kiufupi wengi hawatashiriki kwenye hayo maigizo yenu mpaka pale mtakapo ruhusu haki kutendeka.
 
Back
Top Bottom