PostGE2025 Uchaguzi ungekuwa wa Haki tusingekuwa na tume za michongo hivi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Mama Samia ataunda tume kila siku bila haki ni kazi bure matatizo hayataisha kwa tume za michongo na kukusanya makada ambao ni machawa.

Kama unataka kusaidia hii nchi ni kuweka katiba ambayo imeundwa kitaalamu na kuzungatia jamii zetu zote na uchumi. Uchumi inahitaji uwekezaji na uwekezaji inahitaji mifumo imara ya bunge, serikali na mahakama. Hii imedhubitishwa Japan, korea, Singapore, Malaysia, German , Botswana, Kenya, USA, EU ,Canda na sehemu nyingine nyingi. Utawala wakifalme au wa chama kimoja hauwezi kufanikiwa kwenye nchi ya makabila na kaya nyingi kama kwetu na nchi kubwa kama yetu. Na Tanzania hatuna jamii za kifalme. Mfumo wa China Nyerere alishajaribu na kushidwa miaka ya 1970’s haujafanikiwa kwa jamii yetu. Huwezi kufanikiwa kwa mtindo wa China kama watu wengi hasa wa pwani mpaka Zanzibar hawapendi kufanya kazi na jamii ina dini na makabila mengi

Wito kwa Samia utajulikana kama Raisi mwizi na muuaji. Lakini ukileta katiba ya michongo utalaumiwa na hata wajukuu zako. Umeshaiba wewe marafiki zako vya kutosha basi tuletee katiba ambayo sio ya chama au matakwa binafsi inayojali taifa kwanza. Hakuna mtu wa chini wala juu. Bila hivyo utabaki kuwakilisha na Museveni na Rutto.
 
Gentleman,
chaguzi za Tanzania daima huwa huru, za haki na za wazi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
changamoto na dosari ndogondogo hutokea kwenye chaguzi karibu zote kote ulimwenguni.

katiba mpya ni miongoni mwa vipaumbele vitakayotekelezwa na serikali sikivu ya CCM kwasababu lipo kwenye ilani ya chama hicho kwa mwaka 2025-2030.
hayupo kibaraka wa kushurutisha jambo kufanyika kama watakavyo hilo ispokua CCM pekee.
kwahiyo tuliza fuvu plz.
 
Huna akili
 
Hello lady
Hivi haujihisi mpweke sana kwenye comment 100 au 200 ni wewe tu ndio unaongea upuuzi please lady change use your brain to think not b***cks
 
Tatizo kubwa siyo katiba, ni watu.
Kinachotakiwa ni watu kubadilika kifikra.
Waovu wajirekebishe na wasafi wapambane kuzuia uovu.
Katiba mpya kwa waovu ni sawa na kuwapa nguruwe Lulu. Watazikanyaga kwenye kinyesi.
 
Gentleman,
chaguzi za Tanzania daima huwa huru, za haki na za wazi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
changamoto na dosari ndogondogo hutokea kwenye chaguzi karibu zote kote ulimwenguni.

katiba mpya ni miongoni mwa vipaumbele vitakayotekelezwa na serikali sikivu ya CCM kwasababu lipo kwenye ilani ya chama hicho kwa mwaka 2025-2030.
hayupo kibaraka wa kushurutisha jambo kufanyika kama watakavyo hilo ispokua CCM pekee.
kwahiyo tuliza fuvu plz.

Unachaguliwa asilimia 95. Halafu unaapishwa ndani ya kambi maalumu.
Sisi sote tunajua ni uchaguzi huru na wa haki na hakuna dosari.
Hayo mengine sijui yametokeaje😂😂😂😂.
Ila yanafikirisha sana.....
 
huenda mgombea urais wa CCM 2030 akachaguliwa kwa 100% bila mbambamba yoyote,

mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharbibi mtaendelea kujifikirisha sana aise
 
We bwege hujui kitu zaidi ya CCM na Samia.
gentleman kwani wewe una nini zaidi ya mihemko nonsense tu jukwaani?

upo uwezekano mkubwa sana kwa CCM kushinda uchaguzi kwa 100% uchaguzi mkuu wa 2030.
mihemko nonsense haiwezi kuzuia ushindi huo wa kishindo kwa CCM
 
Hello lady
Hivi haujihisi mpweke sana kwenye comment 100 au 200 ni wewe tu ndio unaongea upuuzi please lady change use your brain to think not b***cks
yes anti muna,
kama huna pointi mihemko nonsense yanini sasa jukwaani anti?
 
gentleman kwani wewe una nini zaidi ya mihemko nonsense tu jukwaani?

upo uwezekano mkubwa sana kwa CCM kushinda uchaguzi kwa 100% uchaguzi mkuu wa 2030.
mihemko nonsense haiwezi kuzuia ushindi huo wa kishindo kwa CCM

Nenda shule
 
Nenda shule
JF ni shule na darasa muhimu sana kwa kila mdau endapo utatumia jukwaa hili vema,
vinginevyo utaishia mihemko nonsense na comments useless tu.

maana yake utatoka kapa tu.
 
You speak a lot, but you say nothing
 
Tume ni ulaji pia kwa watu, kufa kufaana.
 
Lini utaongea sense? And you've never been polite in this platform
gentleman nakwambia hivi,
utabaki empty head hivyo hivyo na negativity sense yako usipotumia vema paltform hii muhimu sana kujifunza na kupata mawazo mapya ili kuongeza uelewa na ufahamu wako kuhusu mambo mbalimbali humu duniani
 
Back
Top Bottom