labda unaweza kuwatisha washirikina wenzako kwa ramli nonsense kama hizo gentleman, not me not CCMBuku 5 ndio imekutoa ufahamu!,ngoja siku yake ufikiwe na udhalimu wa ccm ndipo utakapojua nchi iko kwenye muelekeo gani
gentleman nakwambia hivi,
utabaki empty head hivyo hivyo na negativity sense yako usipotumia vema paltform hii muhimu sana kujifunza na kupata mawazo mapya ili kuongeza uelewa na ufahamu wako kuhusu mambo mbalimbali humu duniani
tuliza mihemko nonsnse mamlukiWe jamaa ni ndezi kinoma
Gentleman,
huenda mgombea urais wa CCM 2030 akachaguliwa kwa 100% bila mbambamba yoyote,
mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharbibi mtaendelea kujifikirisha sana aise
Usifanye mzaha na watu ambao huna nguvu wala uwezo wa kuwamiliki. Tuache kuwa wajinga maana ujinga una gharama.
Kuna mambo yanataka hekima kukabiliana nayo. Yamewashinda hata magwiji zaidi ya hawa unaosema ni magwiji
Na kiburi si uungwana...unataka kitokee nini ndio uamini kwamba wenye nchi ni wananchi? Naona kama tumevimbiwa sana. Tunajamba na kuharisha bila kujitambua
hakuna mzaha hata kidogo kwenye hilo gentleman,Usifanye mzaha na watu ambao huna nguvu wala uwezo wa kuwamiliki. Tuache kuwa wajinga maana ujinga una gharama.
Kuna mambo yanataka hekima kukabiliana nayo. Yamewashinda hata magwiji zaidi ya hawa unaosema ni magwiji
Na kiburi si uungwana...unataka kitokee nini ndio uamini kwamba wenye nchi ni wananchi? Naona kama tumevimbiwa sana. Tunajamba na kuharisha bila kujitambua
hakuna mzaha hata kidogo kwenye hilo gentleman,
CCM inaweza kupata mpaka 100% ya kura zote uchaguzi mkuu 2030. Jiandae kisaikolojia