Uchaguzi US: 2020

Uchaguzi US: 2020

Hongera kwa Biden. Vipi kuhusu madai ya kura kuibiwa, yana ukweli wowote?
Mkuu sifikirii kama yana ukweli wowote kwa sababu Democrats waliwahimiza wanachama wao kupiga kura kutumia njia ya posta ambayo haiwafanyi kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi na waliitikia hilo kutokana na ugojwa wa Corona. Trump yeye aliwahimiza wafuasi wake kwenda kupiga siku ya uchaguzi. Hata hivyo nampongeza sana kwa sababu sikutegemea kama Americans wengi wangempigia kura.

Kinachonishangaza ni vile ambavyo amewaaminisha wengi kwamba anaweza kushindwa uchaguzi na kuendelea kukaa White House. Mpunga ambao ametumia kufungua kesi kwenye majimbo mbali mbali nalo ni la ajabu. Nategemea kumwona anaenda uhamishoni Russia, au Japan kama alivyosema hawezi kukaa USA kama akishindwa. Sioni kama atakimbilia Scotland kwenye golf course yake.
 
Asante mkuu. Video hapa chini toka kwa mashabiki wa Trump, inadai anayeongea ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Marekani. Ni yeye kweli au fiksi? Na kama ni yeye, nini mustakabal wa uchaguzi, mintarafu yale ayaongeayo:

Trump akubali kushindwa tu, transparency ambayo wanaililia ni ipi? Hilo la kujaza form wakati kwenye hivyo vituo kumejaa cameras na waangalizi kibao haiwezekani kwa sababu watajaza hizo kura ngapi? Wizi wa kura huwezi kufanya namna hiyo. Kama wewe ni returning officer au poll clerk huwezi kufanya huo wizi kwa sababu ni wa kitoto. Uzuri moja USA wanatumia machine kuhesabu kura wakati nchi kama UK wanahesabu manually. (Kwenye machine kama isipohesabu ndio unaona hao poll clerks wanajaza nk.

Trump anaondoka madarakani kwa aibu!

1604700901835.png

https://www.dailymail.co.uk/news/ar...s-stage-17-minute-tirade.html#v-6485575615025
2020
 
NV, AZ,PA, GA, NC

Bandiko#9 tulieleza kuhusu idadi ya wapiga kura kwamba ilikuwa ya pande zote mbili, Repulican na Democrats.Hii ni kutokana na 'ushindani ' wa kirangi zaidi kuliko sera na kila upande ulijizatiti.

Katika majiji na miji kwenye watu wenye elimu Rais Trump amepoteza lakini maeneo ya wahafidhina na hasa vijijini huko imekuwa ngome . Rais Trump ana ushawishi katika maeneo hayo hata kama si wa kisera.

Kila mara Trump amekataa kuwalaani '' proud boys au KKK na makundi mengine ya kibaguzi''
Trump anajua makundi hayo ni sehemu kubwa ya wapiga kura wake hasa vijini wanaoona nchi ''inabadilika''

Kwa upande wa Democrat's, VC Biden si msemaji mzuri kama watangulizi wake akina Obama na Clinton au hata wapinzani wakatika wa kutafuta mgombe kama akina Sanders, Butegig n.k.

Hata hivyo Biden ana Charisma tu Biden na hilo limesaidia sana kupunguza kura za Trump huko vijijini.

Katika mazingira ya kawaida Dems wangetoa kipigo kikali kwa Trump na kukamilisha uchaguzi kama wangeshinda Florida na North Carolina.

Florida walipoteza na North Carolina bado matokeo lakini inagemea sana kwa Trump.

Uchaguzi ukabaki katika states za Arizona, Georgia, Nevada, na commonwealth of Pennsylvania

Hapa panatoa njia kwa Trump ikiwa atashinda commonwealth.
Trump alitegemea atashinda Georgia na Arizona na kufikia idadi ya wajumbe 270. Mambo yamebailika

Georgia ambayo Republican (red state) imegeuza kibao na Biden anaelekea kushinda kama ilivyo Nevada na Arizona. Commonwealth (PA) hali ni nzuri sana kwa Biden kwani akishinda PA , mchezo umekwisha.

Kwa hesabu zozote uchaguzi umekwisha na Biden atakuwa Rais ajaye.

Rais Trump hataki kukubali matokeo na kusingizia kuna wizi n.k.
Hoja hizo alijenga hata kabla ya kura kupigwa.
Anachokifanya Trump ni kukwepa lawama ili aonekane amekuwa Rais wa kipindi kimoja kwa sababu ya wizi.

Trumpa ajilaumu mwenyewe. Kwanza, alikataza wapiga kura wake wasitumie 'vote by mail' bali waende vituoni. Katika mazingira ya sasa hilo limechangia sana kupunguza kura lakini pia limetoa fursa sana kwa wapiga kura hasa wa Democrats.

Kauli ya losers andsucker' inamtafuna. Katika eneo kama Georgia ambalo tofauti ya kura ni ndogo sana, hata zile za jeshi zimekwenda kwa Biden.

Trump amekwenda mahakamani, ukweli unabaki kuwa matokeo ya Arizona na Nevada yakitangazwa kukamilika Bidena atakuwa Rais wa Marekani bila kutegemea Commonwealth of PA.

Georgia peke na Nevada au Arizona zinatosha kumfanya Biden awe Rais.

Milango yote imefungwa na anachokifanya Trump ni kutafuta dirisha la kutokea salama.
Trump ni 1 term president na anakuwa 5 katika mlolongo huo.

Game over

Tusemezane
 
Naam, the Game is over. Wanajaribu tu kupunguza dozi ya maumivu kwani muda unavyozidi kwenda uchungu wa kushindwa nao hupungua! Wanaweza wakatangaza matokeo baadaye leo hii...Donald Trump is a one term president kwani hakuna mahakama inaweza kukubaliana na madai yake ya kipuuzi. Wamarekani hawawezi kurudia makosa waliyoyafanya 2016!
 
1604771229558.png

NEW YORK CITY: New Yorkers held banners reading 'Hallelujah' as they gathered in Times Square to celebrate the news that Joe Biden is the new president of the United States

1604771284447.png

WASHINGTON: Celebrations have broken out across America with pedestrians dancing in the streets, motorists honking their horns and cheers filling the air as Joe Biden is named the next president of the United States

1604771323754.png

PHILADELPHIA: People celebrate Saturday in Philadelphia, after Democrat Joe Biden defeated President Donald Trump to become 46th president of the United States

1604771380985.png

PHILADELPHIA: Celebrations erupted across the city as news broke of the result

1604771422095.png

WASHINGTON: People react as media announce that Democratic US presidential nominee Joe Biden has won

1604771470390.png

NEW YORK CITY: People gathered on their fire escapes in Alphabet City to celebrate Biden winning the 2020 presidential election
 
1604771972638.png

President Trump leaving the White House on Saturday
for his golf course in Sterling, Virginia
 
Bado ulikuwa na imani na Trumpet? Ahame nchi chacha si aliahidi?
Hivi unayo habari kuwa Trump ana pacha wake Tanzania? Wapenzi wa hawa mapacha wako upande moja na mpaka sasa nashindwa kuelewa imekuwakuwaje ukamchagua moja na kumwacha mwenzake. Kumbuka birds of a feather flock (fly) together! Wenzako wengi walikuwa upande wa Trump...je umepotea njia?
 
Wenzangu wakina nani? Wacha kamba mkuu mapacha wake atakuwa huyo balozi aliyemleta na JFI sidhani kama Biden atamwacha salama.
 
Nakuapia kwamba kama ingekuwa ni Tanzania, Trump angeweza kupata ushindi hata wa asilimia 99% na hakuna mbunge wa upinzani angetangazwa kashinda na Biden angeiota tu Ikulu.
 
What's your point?
 
Boris Johnson congratulates 'important ally' Joe Biden after he was named next US President and lists trade and climate change as 'shared priorities'

1604773819163.png

Back
Top Bottom